Recent content by BigBaba

  1. BigBaba

    Kwa wale wenye uzoefu na ujenzi au bei ya tailes (vigae)

    Ubora pia mkuu si vipimo tu zina grade tuma picha wanaojua wakuambie
  2. BigBaba

    Teegarden B: Sayari Yenye Uwezekano Mkubwa Wa Maisha Ya Alien.

    "Japo najua Aliens wapo hapa hapa nyuma kidogo" Sasa hawa wanasayansi mbona wamekuwa wajinga kiasi hicho wanahangaika kutafuta wanapoishi hao Aliens wakati wewe unapajua Sent using Jamii Forums mobile app
  3. BigBaba

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    Safi hayo ndiyo mambo sio kubishana tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. BigBaba

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    Ukûno mhala sana dôlého ntemi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. BigBaba

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    Ingekuwa poa sana kama ungetoa tafasiri sahihi kama kusahihisha bandiko kuliko kulaumu tu mtoa mada Sent using Jamii Forums mobile app
  6. BigBaba

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    Hapo kinachomata ujumbe tu kaka, Ginehe ulemhala hene mwana obaba Sent using Jamii Forums mobile app
  7. BigBaba

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    Inasikitisha sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. BigBaba

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    TUWAOMBEE WAO TUJIOMBEE NA SISI , KILA MTU ATOE MAOMBI YAKE HAPA, THANKS! Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa wanaona kama wametengwa na dunia ,wanajiona wapweke ,wanona hawana msaada tena,na wanaamua kumwachia mungu aamue juu ya hatima yao. Ndugu zangu watanzania tumwombee mungu kupitia...
  9. BigBaba

    Biashara ya kufungasha na kuuza mchele

    Kaomba ushauli hazarani ili na watu wengine uwasaidie mpatie hapa hapa na wengine wanahitaji uwasaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  10. BigBaba

    Kwanini Serikali iliamua kuwadhalilisha na kuwavua nguo uchi wa mnyama viongozi wa CHADEMA walipokuwa Magereza? Wahusika wachukuliwe hatua

    Usianini hili jukwaa kwa sasa limeshaingiliwa na mambo mengi si kama zamani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. BigBaba

    Hivi Ikulu mnafeli wapi? Mnatutia aibu Rais kuvaa jezi iliyoandikwa SporPesa badala ya SportPesa

    Harafu mbona kwenye jezi yake hatuoni nembo yetu ya Young Africa Sports club. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. BigBaba

    Tuongelee AirBnB + Tourism hapa Tanzania. Watu wanatengeneza pesa nyingi. Experience ya miezi 2 nikisafiri Tanzania

    Mi pia ndiyo point iliyonivuta kusoma huu uzi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. BigBaba

    Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    Huoni kama mnatuchosha Sent using Jamii Forums mobile app
  14. BigBaba

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Hakuna cha kujaribu niamini mimi ni utapeli wa kimataifa. Unasikia usionje sumu kwa ulimi. Utakuja kunishukulu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom