Kwa wale wenye uzoefu na ujenzi au bei ya tailes (vigae)

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Asee kuna fundi wa tailes baada ya kufanya kazi kapewa mabaki ya tailes 60*60 kama sehemu ya malipo yake anapatikana hapa Mwanza sasa anataka kuniuzia kwa bei pungufu ya 30000/= box ambapo zimo piece 4.

Niulize wadau wanaojua bei halisi hasa kwa hapa Mwanza nikinunua kwa bei hio ntakuwa nmepigwa au vip. Tailes zina maua mazuri. Mimi sio mzoefu ningeenda kuuliza dukani lakini ni mbali kidogo.

Nawasilisha anaejua bei halisi ya dukani aniambia au kunishauri
 
Huyo fundi akisema alimwibia bosi wake kwani kuna shida

Luckman1
 
Back
Top Bottom