Hivi Ikulu mnafeli wapi? Mnatutia aibu Rais kuvaa jezi iliyoandikwa SporPesa badala ya SportPesa

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

1583750142792.png
 
Bora angevaa ya kushona kama ile aliyo vaa waziri wa michezo msimu uliopita, mbona alipendeza vizuri tu.
 
Kaka nguo zina shonwa kitalamu, sasa mahali unapokuta panamgawanyo wa kitambaa kwa maana ya sehemu mbili sawa . ili kupata line of cymetry itakubidi bilakujalisha ni neno gani litapungua kutoka upande mwingine inakubidi ufuate utaratibu wa kutafuta line of cymetry.

Bila kuathiri uhalisia wa hizi jezi mbili na kwakuwa kila upande una rangi yake inayo fanana na maneno yenye rangi ambata, ili mbidi mbunifu acheze kwenye sheria hiyo pia yaani ( line of cynetry) . sasa kama wewe nimshabiki mzuri unaweza ona ni neno gani halijatimia kulingana na sheria hiyo kisha utaliongeza kimoyomoyo bila kubugujikwa machozi kama unavyo bug gujikwa. Pole lakini aksante kwa kugundua mapungufu yaliyopo.

Hata kwenye kuprint rangi ya tishirt pia tunahusisha utaratibu huo pia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nguo zina shonwa kitalamu, sasa mahali unapokuta panamgawanyo wa kitambaa kwa maana ya sehemu mbili sawa . ili kupata line of cymetry itakubidi bilakujalisha ni neno gani litapungua kutoka upande mwingine inakubidi ufuate utaratibu wa kutafuta line of cymetry.

Bila kuathiri uhalisia wa hizi jezi mbili na kwakuwa kila upande una rangi yake inayo fanana na maneno yenye rangi ambata, ili mbidi mbunifu acheze kwenye sheria hiyo pia yaani ( line of cynetry) . sasa kama wewe nimshabiki mzuri unaweza ona ni neno gani halijatimia kulingana na sheria hiyo kisha utaliongeza kimoyomoyo bila kubugujikwa machozi kama unavyo bug gujikwa. Pole lakini aksante kwa kugundua mapungufu yaliyopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
kasome upywa sheria za chapa na taratibu zake then njoo na haya maelezo yako ya symmetry mkuu
 
Huwezi kumwona Bahkresa akiwa kwenye hafla ikulu au kwenye shughuli ya kiserikali halafu apige picha akiwa ameshikilia chupa ya maji ya Kilimanjaro... Jiongeze mkuu

Haya ni mambo ya endorsement

Pia hawezi kuchukua maji ya kilimanjaro akafuta neno kili eti yasomeke njaro

swala ni either anywe kama yalivyon au aachane nayo, the same kwa mh Rias, alikua na choice ya kutokuvaa jezi au akiamua kuvaa then aheshimu wadhamini na brand zao PERIOD
 
Back
Top Bottom