sina haja ya mipasho maana mimi sio mwanamke wa uswazi! tuhesabu siku tu halafu utarudi humu JF na thread 'Nimekoma kuishi TZ bila kibali'! siku njema!
tutakamata tu wala usiteme mapovu mapema hivi! huwezi kutupotosha wakati tunaona Taifa letu liko hatarini! rudi kwenu Rwanda mapema kabla hatujakukamata kwa kuishi Tanzania kiharamu!
Wewe ni mnyarwanda na huna uchungu na nchi yetu ambayo ni urithi wa watoto wetu! Nyamaza kimya usitake kutupotosha otherwise tutaanzia kwako kukuchunguza uraia wako! Take care...
sioni ajabu ktk hili! wanatupiga risasi wanapokuwa wamepewa silaha ila huko mitaani 'watupuuu'! tukitaka kuwamaliza tutawanyamazisha mmoja mmoja huko huko mitaani kwetu! jeuri yao wanapokuwa ni silaha tu!
Ooh yes! I agree with you 100% that according to your perception you are right to talk whatever nosense your heard is capable of thinking!!!
ila kwa wengine tunaona wako sahihi kwa kuwa hakuna jema ambalo wapinzani wamepinga ndani ya Bunge letu tukutu kutetea maslahi ya watanzania wakafanikiwa!
umemaliza mkuu! Israel sio Mbinguni! Wakristo hatuhiji Israel wala popote duniani. Kwenda nchini Israel kutembelea maeneo ya kihistoria ya kidini haina maana ya kwenda kuhiji! Huyo Askofu anapotosha umma!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.