Recent content by Big Lady

  1. Big Lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michael Douglas: oral sex caused my cancer

    Ni Virus au Bacteria? I mean origin ya virus inaweza kusababishwa na uchafu? Swali langu linalenga kujua source ya huyo virus na nini?
  2. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Hongera sana.
  3. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Mmh jamani Mwasi asante dada yangu. Kwani bado hujapata? Mwambie shemu aongeze bidii :)
  4. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Ni kweli BAK. Ni rahasana.
  5. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Haaaa haaaa unaye?
  6. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba yaja na Rasimu ya Katiba yenye maamuzi mazito...

    Nimekusoma mkuu. Professor Safari alikuwa sawa kuwaambia Chadema nchi kwanza vyama baadaye?
  7. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

    Mbona hiyo habari ni kiduchu sana? hakuna taarifa kamili?
  8. Big Lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michael Douglas: oral sex caused my cancer

    Issue hapa ni huyo kirusi wa human papillomavirus anasababishwa na nini?
  9. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba yaja na Rasimu ya Katiba yenye maamuzi mazito...

    Ngoja tusubiri hayo maamuzi. Hivi report anakabidhiwa Rais au itatolewa hadharani?
  10. Big Lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wako, nini kifanyike? Vijana wanapukutika

    Si kweli. Aslimia 65% ya population ni vijana. Ndo maana unaona wanakufa wengi. Kama una research data tupatie.
  11. Big Lady

    JamiiForums Tanzania Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

    Wewe ni he au she? Muda wowote ambao mwanamke atajisikia. wengine wanafanya hadi mwezi wa 9. Muhimu ni position.
  12. Big Lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu kapata mwanamume mwingine akiwa masomoni

    Kwani uliwahi kumwambia utamwoa? Na maugomvi yalikuwa ya nini? Mi nashauri songa mbele utampata wako akupendae. Ila kuwa serious katika mahusiano. mambo ya kazalisha bila kuwa na commitment si mazuri.
  13. Big Lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Na wewe na mpenzi wako ni hivi au mimi tu nishaurini jamani....!

    Kuna wengine inakuwa hivo. Pia kuna baadhi wakiwa wajawazito.
  14. Big Lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dereva anaharibu mahusiano yangu

    tafuta ushahidi. Kama kweli achana naye.
  15. Big Lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    Wenye maungo makubwa tuna tabu jamani
Back
Top Bottom