Recent content by BIG KAKA

  1. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wenye chura

    Exactly Mkuu maana hawa wanawake vimbaumbau wana mapaja ya baridi kama panga lililo lala nje...
  2. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

    Kuna jamaa yake mwingine ambaye ana mpenda kwa dhati na wana ahadi ya kuona..so kwako anapunguza genye tu Mkuu. Usiforce itakukost Mkuu
  3. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania Niliambiwa kama unataka, niambie. Mimi nikalala nikakosa mambo

    Ndorobo mkubwa wee...yaani wee ulikuwa ni zaidi ya domo zege..
  4. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amjibu Dudubaya kuhusu kutaja mashoga, amtaka atulie kwanza

    Tukitoka dar tunawafuata huko huko mikoani Tukitoka dar tunawasaka had I huko mikoani...nyie ndo mnatuharibia nchi...maana mwandiko wako tuu una onyesha wewe bwabwaa..
  5. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    Hebu Sepa hukoo 2.inaendelea...Basi nikamwita mrembo nikamweleza Yangu ya moyoni,mtoto akanielewa kwa sababu lengo langu lilikuwa ni kuja kuoa kabisa na wala cyo eat and run. Basi tangu hapo nilikuwa happy balaa nikapiga chini milupo Yangu yote,na kuamua kutulia na huyu mrembo.Siku zikaenda...
  6. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    Usipende kuangalia makosa tu no one is perfect Mkuu Mkuu ungejua mi ni nani na Nina msaada gani katika nchi hii ungekaa kimyaa...
  7. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    Ucjali ijayo itakuwa poa Mkuu
  8. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    Kuwa mpole Mkuu picha inaendeleaa
  9. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    Ahaahaaa NO one is perfect Mkuu ili mradi ujumbe umefika na unaeleweka ila thanks..
  10. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    N Ahaahaaa niende WAP Mkuu?
  11. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    Hii ni true story mkuu ..
  12. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania HEBU SEPA HUKOO:

    Mambo ajee wakuu?poleni na mihangaiko ya kujenga tz..Leo katika mishe zangu nimekutana na mrembo wangu wa enzi hizoo aliyeuteka moyo wa mie Big kaka mpaka nikashindwa kupata na usingizi yaani ilikuwa ni balaa...ilikuwa MWAKA 2010 Mara tu nilipo hitimu shahada Yangu ya kwanza nilipata tempo ya...
  13. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania Je kweli huyu bi dada atanilipa Deni langu ?

    Kwani makubaliano yenu yalikuwa kulipana pesa au uchii?Mkuu hapo mi naona unaletewa papuchi utafune na uongezee pesa nyingne ya usafiri wa kumrudisha huyo manzi...
  14. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania Tumegombana kisa kaniomba tsh. 5000

    Ahaahaaa no money NO Honey kijana..but hongera kwa kwa kuthamini pesa yako hao ndiyo dawa yaoo akitaka pesa aifuate ghetto dadeki..
  15. BIG KAKA

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

    Kwa nini sasa mnadai haki saw a Mkuu...?
Back
Top Bottom