Recent content by big jambo

  1. big jambo

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Mzee Jason maeneo uliyoyataja huko home iramba hususani ibaga chemchem hadi sibiti nimefika miaka ya 1984 nikiwa na miaka 14 nikitokea singida vijijini maeneo ya mgori nilikuja sibiti kuvua samaki nakumbuka niliombewa ruksa shuleni ya wiki mbili lakini kulingana na mazingira na usafiri kwa...
  2. big jambo

    Hadithi: Gamboshi

    Amina ila leo ni j4
  3. big jambo

    Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

    Mkuu hiyo dawa ya kutoa nyongo tuelekezane kaka
  4. big jambo

    Simulizi ya Kijasusi: C.O.D.EX.

    Mwanzo kama sikuielewa lkn sasa nimeielewa barabaraa poti asante sana wanyumbani
  5. big jambo

    Zawadi Toka Ikulu

    Tupo wengi tu
  6. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Saangwireee makamanda
  7. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Asante sana poti maana dah ulishatusahau mazima poti
  8. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Asante sana poti maana dah ulishatusahau mazima poti
  9. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Nashkuru sana poti ngoja niwatafute wataalam
  10. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Hii aimu niliinunua Lebanon ila hiyo line ikaja kusajiliwa hapa tz ni ya halotel
  11. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Nina shida ktk simu yangu aina ya Samsung Galaxy tab A model number sm_T285 ni kwamba ni kwa nini haitaki kubadilishiwa line nina maana inasoma line moja tu naomba msaada nimejaribu mi mwenyewe nimeshindwa nimewashirikisha baadhi ya wadau nao wameshindwa msaada waungwana akhsanteni
  12. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Inakoelekea ndivyo hivyo poti
  13. big jambo

    Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Asante sana wanyumbani
  14. big jambo

    Riwaya: "Hujuma Nzito"

    Poti shukrani sana ndg yangu barikiwa ktk kipaji chako
Back
Top Bottom