Recent content by Big Jairus

  1. B

    Wapi hapa

    Msamvu Morogoro
  2. B

    Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

    Sinywi pombe, napenda kusikiliza muziki, kusoma na zaidi sana kusikiliza idea za watoto:Na watu wanapenda kupata ideas kutoka kwangu.Tusiendekeze pombe.
  3. B

    RC wa Iringa kafanya madudu gani?

    Watu hawafahamu wafanyakazi wa hospitali/afya wanavyokuna vichwa kuhudumia wananchi. Watu wasirukie kuchangia/kushabikia vitu wasivyovifahamu .
  4. B

    RC wa Iringa kafanya madudu gani?

    Hata mimi namshangaa huyu Lubede!
  5. B

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mimi nilikuta utamu hauko kiwango kile nilichofikiria, nikaona kumbe hovyo tu tofauti na masela wanavyosimulia na kikajuta kutenda dhambi (sijui ni hofu ile)!
  6. B

    She has unbreakable Hymen

    Inawezekana waliokuwa wanagusa walichemka kama Mr wake(just thinking) hymen ikaendelea kuwepo.
  7. B

    Hospitali za serikali siendi tena! Nimekimbia kupimwa UKIMWI!

    Ha ha ha ! Wanapima, lakini siyo lazima kama mteja hajaridhia. Una haki ya kukataa kupimwa. Upimaji hautakiwi kuwa sababu ya mteja kukosa huduma.
  8. B

    Girls, if you’ve B.B. around for a while try to divide the number by 10

    I think you did the right thing Kasie, to confess the truth.
  9. B

    Girls, if you’ve B.B. around for a while try to divide the number by 10

    Mzee wangu alinionya kuoa mdada aliyekwisha "tembea" na wanaume zaidi ya wawili. "If you are third in her experience, don't marry her". Ha ha ha ha. Ngoja nipate usia mwingine hapa.
Back
Top Bottom