Recent content by BICTEM

  1. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Nilivyooa Kimasihara

    Sawa nimesoma na nimeelewa,ila hapo mwishoni kuwa vijana tuoe hiyo ni uongo mkuu.
  2. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

    Tawile
  3. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Changamoto za mahusiano.
  4. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo flani aliimba Tanzanite unaitwa popobawa nautafta miaka sijaupata tafadhali mwenye nao areply
  5. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza ufundi ujenzi

    Kama title isemavyo, nahitaji kupata fundi kujenga anifundishe kujenga, nitafanya kazi kama saidia huku akinipa ujuzi, mkoa wowote ule nitafika. Nawasilisha.
  6. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Nieleweshwe

    Ebu naombeni tafsiri ya wazi ya kusema "mwanamke flani ni mrembo" Neno urembo hasa tunazingatia nini?
  7. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Kwamba inatakiwa kila siku unafanya jambo tofauti ama?
Back
Top Bottom