Recent content by Bibigula

  1. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    No vizuri Kama amekimbia mapema kuliko kujitia aibu. Ila mahonia onside yanakuwa kwa Kiswahili?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kapima vipimo vyote hana tatizo lakini bado anaumwa

    Pole Sanga. Kwa Kifura unaweza Puka ukampa yai bichi ulichanganye na asali Nouri zaidi Kama utapata yai la kienyeji. Mimi Wangfujing alisumbua kiasi Mikapangaro kupewa Trevo Kama umewHi kuisikia au Kama bado mpigie huyu dada atakuelewesha zaidi 0714666221
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidie wanawake wenzangu na nyie wanaume zenu wapo kama huyu wangu?

    Grace mi mwenzako niliamuaga kuwa napotezea, alikuwa hadi anaapa Mungu amchukue baba au mama yake then anageuza kibao anapoa siku mbili wiki then anarudia kilekile nikasema kama alishindwa na wazazi wake mi ntamuweza cha muhimu nikaanza kuvizarau na kumuombea Mungu, alichokipata Mungu ndo anajua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kaolewa na mwanaume lakini yupo mbali

    Alipo kubali hakujua? Aache utoto
  5. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mvua kubwa, ACT yafanya Mkutano Njombe (PICHA)

    Hongereni wazalendo. Mradi tu uwe uzalendo wa vitendo
  6. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Ha ha ha duh
  7. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    If its true may He rest in peace
  8. B

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

    Duh hii kweli kali yakufungia mwaka
  9. B

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Nilijiuliza kitu nikasema walikubali pendekezo kwakuwa wamechoka? Ikawa funika kombe mwaharamu apite? Au ndo ilikuwa mwisho wao wa kufikiri?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Kwakweli wale waliosema watoto wetu watakuja kufukua makaburi wapime akili za viongozi hili litatokea.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbona Hawaazimii Lolote Kuhusiana na "Mlango"? Wabongo Tunapenda Mno Drama

    Kwakweli inasikitisha sana. Tuombe Mungu labda this time mlango utrudishiwa maana wa kufunga mpaka sasa sababu anayo ila nia, nguvu na udhubutu hana
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Mfa maji haishi kutapa. Watachemsha mtu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi ''Kizuri sijapata kuona''Miaka 50 ya uhuru.

    Kwa kweli inasikitisha sana, kuinama maswala ya muhimu hayapewi kipaumbele. Kweli Tanzania zaidi ya uijuavyo
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa NMB acheni dharau, kumiliki smartphone isiwe kero

    Huyo masanao hayupo tena NMB nasikitika
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke amuua Chui baada ya kupigana nae kwa muda wa nusu saa

    Kungekuwa kuna kujaribu tungekupeleka wewe up ambiance na huyo chui, mana usije kuwa wasema hayo Wakati ndo wale ndani kuna Panya unatoka nduki
Back
Top Bottom