Recent content by Bianconeri

  1. B

    Bayern Munchen bingwa wa Ulaya msimu huu

    Defence yao sio imara
  2. B

    Samsung S6 plain na Samsung A10s

    Wana JamiiForums nina option mbili za simu Samsung S6 plain na A10s naombeni mnismbie ni simu ipi bora kati ya hizo ili niweze kuinunua Nawasilisha
  3. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nauliza kwa ambao wamewai kufanya ununuzi mkuu
  4. B

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Naombeni mnijuze ubora wa bidhaa za aliexpress na vip gharama zilizoandikwa mwenye bidhaa ndio zenyewe au kuna gharama zingine za kodi? Mwl.RCT na wajuvi wengine naombeni msaada
  5. B

    Jinsi ya kujinasua kutoka katika jela ya nyumba za kupanga

    Hivyo vitu inavyonunua viwandan sidhan kama utakuwa umepunguza gharama
  6. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana nimejaribu treni la team 15 limetiki
  7. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    europa nimeweka gg tim zote za ureno
  8. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwel frankie anambeba
  9. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naombeni mnitag kwenye kisa cha mzee wa lindi
  10. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naombeni mnitag kwenye kisa cha mzee wa lindi
  11. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naombeni mnitag kwenye kisa cha mzee wa lindi
  12. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kisa cha mzee wa lindi nitakipataje?
  13. B

    Mo anahonga waamuzi

    Mkuu usiwe kama wakike kwani huko CAF si tumeenda na tumefika robo fainali usiwe kama wakike kwani match za yanga marefa huwa hawafanyi makosa?
  14. B

    Kocha wa Namungo amelalamika dress room yao kupuliziwa hewa mbaya

    Hicho chumba kilitumiwa na simba sasa simba walijipulizia dawa wenyewe?
  15. B

    Simba kulalamikiwa?

    Je makosa ya waamuzi huwa yanatokea kwenye match za Simba tu? Tumeona makosa ya waaamuzi yakitokea kwenye match za Simba na malalamiko huwa ni Simba wamewalipa marefa... Je malalamiko kwenye mechi zingine za yakitokea makosa kwa marefa malalamiko huwa ni nini? Al Ahly,Vita, Soura,Nkana wote...
Back
Top Bottom