Samahani nilisikia alibaba wao wanauza vitu vya jumla ila ukitaka kunua vitu vya reha reja yaana kama simu 1 au 2 unatakiwa utumie aliexpress sasa leo katika pita pita zangu alibaba nimekutana na laptop na simu ambapo MOR(MINIMUM ORDER REQ) ni kuanzia moja nakuendelea. Sasa swali langu je na weza agiza/kununua laptop moja kwakutumia alibaba

Samahan kwa kiswahili kibovu na maelezo yasiyokamilika
Screenshot_20200221-161146.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishauri kununua laptop site za kichina mkuu, zinakuwa ghali kuliko Tanzania. Laptop za gen ya 4 kibongo bongo zinapatikana kuanzia laki 3.

Hio laki 7 unapata 6th gen ya maana kwenye refurbished ambayo ni sawa na hizo.

Pia kuwa makini na matapeli angalia reviews zake, na feedback za watu.
 
Samahani unaweza niunganisha na muuzaji laptop na laptop gani nzuri i mean sifa zake mm na bajet ya kama lak 7 mkuu

Mkuu Discountkubwa wanauza laptop nzuri sema wao wanalenga bei rahisi zaidi range ya 250K mpaka 400k hivi unaweza pata deal nzuri. Unaweza pata laptop pale ya laki 7 ikawa sio nzuri kwa budget yako.

Epic computers naona wana gen ya 6 i5 kwa 790k unaweza kwenda dukani kwao wapo city mall

Kwa maduka mengine kkoo hizo refurb za 6th gen around laki 6. Anzia mtaa wa swahili na uhuru hadi msimbazi na uhuru na pia angalia likoma na Aggrey kkoo.

Hizi ni cpu ambazo unatakiwa ungalie
-i5 6200u
-i5 6300u
-i7 6500u
-i7 6600u
-i5 7200u etc

Angalia tu ianze na 6 ama 7 na iishiwe na U mfumo huu 6xxxU

Ukipata kwa laki 6 itakuwa vizuri ili utumie hio laki 1 kununua ram na ssd.
 
Asante sana mkwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishauri kununua laptop site za kichina mkuu, zinakuwa ghali kuliko Tanzania. Laptop za gen ya 4 kibongo bongo zinapatikana kuanzia laki 3.

Hio laki 7 unapata 6th gen ya maana kwenye refurbished ambayo ni sawa na hizo.

Pia kuwa makini na matapeli angalia reviews zake, na feedback za watu.
Hapa mkuu unabidi utuweke sawa, tupendelee nini? Kununua kweny site za kichina maana sisi tunatak kuingia uko.
Na je zipi site nzur ambazo sio za kichina tuweze kutumia .
Ahsante
 
kwa simu na accessory site za kichina unapata rahisi mkuu, hapo nimelenga kitu kimoja tu laptop.

site za kimagharibi computer na vifaa vyake vinakuwa bei rahisi zaidi, sema shipping inakuwa gharama kubwa

na kama nilivyosema hapo juu most of time laptop ukizikuta site za kichina bei yake haina tofauti na huku kwetu ama ni ghali zaidi,

ingia aliexpress hapa filter lenovo ama hp ama brand maarufu angalia bei, almost mara 2 ya bei za kwetu
 
Hv unaweza nipa mtu anaye uza laptop kwa bei nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
ipo lenovo thinkpad
core i7 4200mq
8gb ram
320gb hdd
nvidia 730m 2gb
display size 14"
2hrs battery
465000/=

ipo lenovo
core i3 5005u
6gb ram
320hdd
3hrs battery
kioo kina mstari 1 mwembamba
display size 15.6
bei 400000/=

LOCATION SINZA DAR ES SALAAM

PM au weka namba yako nikupigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa simu na accessory site za kichina unapata rahisi mkuu, hapo nimelenga kitu kimoja tu laptop.

site za kimagharibi computer na vifaa vyake vinakuwa bei rahisi zaidi, sema shipping inakuwa gharama kubwa

na kama nilivyosema hapo juu most of time laptop ukizikuta site za kichina bei yake haina tofauti na huku kwetu ama ni ghali zaidi,

ingia aliexpress hapa filter lenovo ama hp ama brand maarufu angalia bei, almost mara 2 ya bei za kwetu
Ahsante,
 
ipo lenovo thinkpad
core i7 4200mq
8gb ram
320gb hdd
nvidia 730m 2gb
display size 14"
2hrs battery
465000/=

ipo lenovo
core i3 5005u
6gb ram
320hdd
3hrs battery
kioo kina mstari 1 mwembamba
display size 15.6
bei 400000/=

LOCATION SINZA DAR ES SALAAM

PM au weka namba yako nikupigie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa Mbeya ningeku pm. Ili nizicheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni mnijuze ubora wa bidhaa za aliexpress na vip gharama zilizoandikwa mwenye bidhaa ndio zenyewe au kuna gharama zingine za kodi?

Mwl.RCT na wajuvi wengine naombeni msaada
 
Back
Top Bottom