Recent content by Bi Amina

  1. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Itapendeza kama umepata sehemu/eneo/ofisi karibu na chuo.
  2. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi niingie kwenye kilimo nishaurini

    Hongera ni wazo zuri. 1.La msingi ni kuangalia wapi unataka kufanyia hiki kilimo 2.Utafanya kilimo cha aina gani,kutegemea mvua au utamwangilia 3.Upatikanaji wa maji huko shambani ukoje 4.Na mengine mengi ya kuangalia,ila fuata ushauri wa mdau hapo juu anza kwanza hicho kilimo kabla hujaacha...
  3. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Account gani ya bank itatunza pesa zangu mpaka 2020 bila ku-draw??

    Bank Account hio unaweza pata TIB Corporate Bank,Nenda katika Matawi yao ,DSM,Mwanza ,Arusha na Mbeya Product inatiwa Jipange Fix au hata Jipange Flex zaweza kukufaa
  4. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania ASALI MBICHI INAUZWA

    Mbeya.
  5. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania ASALI MBICHI INAUZWA

    Naipataje sasa
  6. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Nahitaji hiriki nipo Mbeya.
  7. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukiamua kwa umoja wetu tunaweza, hizi juhudi tuzihamishie kwenye kazi pia

    UKo sahihi ndugu,tushawishiane kufanya kazi kwa bidii.
  8. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Speech ya Akon kwenye conference ya youth connect Kigali Rwanda!

    Very good speech indeed......
  9. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mwanaume mwenye huyu mwanamke, mwambie afunge akaunti yake fb kwa usalama wako

    Hivi mleta mada anataka tuangalie picha au kivuli cha hizo picha?
  10. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Ranger Cookies - karibuni jikoni

    yummy....
  11. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Jaribu hii Kaimati Vipimo Unga 2 vikombe vya chai Hamira 1 ½ cha chai Samli...
  12. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Turmeric Coconut Basmat Rice

    Looks yammy!!!
  13. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Amua sasa kufanya mabadiliko katika maisha yako

    thanks kwa maono mazuri
  14. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Mashine za kukoboa mahindi na kusaga

    Asante najipanga,nitakutafuta
  15. Bi Amina

    JamiiForums Tanzania Mashine za kukoboa mahindi na kusaga

    Mkoani,Iringa
Back
Top Bottom