Nahitaji mashine ya kukamua mafuta ya alizeti na ya kukoboa mpunga.Ok,
unahitaji mashine zinazotengenezwa hapa hapa nchini ndizo nzuri mashine zakichiha ama za India si nzuri,
Unahitaji kinu cha roller tatu chakukoboa na mota yake iwe hzp 25 Na uhakikishe RPM iwe kati ya 1000-1200 ili kuepuka kuvunja mahindi wakati wakukoboa.
Lakini pia unahitaji upate mashine yakusaga size 75 na mota yake iwe hzp 30 na fundi ahakikishe anakuwekea rotation per minute(RPM) iwe kati ya 3200-3500.
Lakini pia utahitaji starter ni vizuri fundi akakufungia contactor za siemency ndizo zilizo imara.
Bei
Mashine kukoboa-1200,000
Mashine kusaga -1200,000
Mota hzp 30 -1300,000
hzp 25 -1200,000
Starter 500,0000
Cable inategemea na urefu.
Kua makini kwani ukikosea ukauziwa mashine isiokua imara utajikuta mwenyeji kwa mafundi wakuchomelea.
ahsante sana kakaOk,

Mimi nahitaji ninahitaji anuaniahsante sana kaka
Wewe uko wapi,dar ama mkoani?@Bi Amina
ok,hizi zipo dar kwa size tofauti inategemea unataka kuzalisha kiasi gani kwa muda gani kulingana na soko lako@bi amina!