Msichukulie jambo hili kwa wepesi . Juzi Nape kasema goli la mkono je huoni kama ni maandalizi haya ? Je unajuaje kama inaweza kutumika na hata CCM makao makuu kufanya mamboy yao ? Nilitegemea watu kwenda mbali kimawazo au kwa kuwa IT ni shida Tanganyika ?
Kigoma anaitwa TIGO hasomeki mtandao wa shida lakini unatumia pesa nying kujitangaza . Zitto siyo mzalendo hajwahi kuwa mzalendo na hatakuwa mzalendo .Zitto ni TIGO hata kama JF anamlinda asiandikwe hapa . Hebu ona hii , majuzi kasema atashangaa kama CCM hawatamchagua Membe kuwa mgombea wao...
Yeye anawatukana watu kila kona sasa acha tuweke sawa mambo yake . Akikanusha hili tunamwaga zaidi miiba akitembea juu lazima aanguke kwa maumivi. Yeye atueleze kama huu ni uvumi ambao si kweli , basi ukweli ni upi hadi hali ikawa vile ?
Anaweza kuwa mzee Kigoma maana naye anasema asiyo yatenda , hebu muulizeni Makongoro kwa nini CCM Mkoa wa Mara wanamchukia sana ? Je kweli alivuta kitu kidogo ? Aongelee hilo kabla hatujaweka sawa data .
Mwambieni ukweli Zitto mnadanganya tu maneno yenu maana anauona yeye mwenyewe, kabia kupiga ramli sijui Lowasa na sasa karukia kwa Membe . Kukana kuzomewa mikoani kunaonyesha alivyo vaa mawani ya chuma.Si anakuja Kigoma kugombwa ? Haya mtakuja kumsaidia kwa kuwa ni hapa tunataka kuonyesha kwamba...
Nape umekuwa bingwa wa matusi kupatikana katika matukio yasiyo ya lazima . Jana uliingia Dar ukiwahi kikao cha bodi ya magazeti yenu ya Chama chenu cha kijani na kuacha ziara mikoani .
Sasa ukazuiwa au kufukuzwa na waandishi wa magazeti yenu unatuhumiwa kuwafanya masikini kwa kuwa unapiga pesa...
Jiulize haya endapo Lowasa atakuwa Rais . Je hawa watakuwa nani katika serikali yake ?
Zitto Kabwe
Apson
Chenge
Karamagi
Juma Killimbah
Rostam
Tibaijuka nk list ni ndefu hebu waza kidogo halafu useme kama Lowasa apite au apumzike ?
Mzee Mbunge wa Segerea , waeleze watu wa jimboni kwako una shida gani na wavuja jasho wa Segerea.
Umekuwa na harakati mno hapo polisi Sitakishari,unawakamata vijana na kuwaweka ndani.
Makongoro hata ukiwa waziri na mbunge bado wewe ni mtu kama wao.Ukitumia bodaboda ya mtu shuruti kulipa na...
Makundi yote ya Lowasa kam 4U movement , Friends of Lowasa , Team Lowasa Dar wote walisha book kwenda Dodoma kushinikiza mtu wao apite .Ni mbumbu wale hawajui kuna sheria na kanuni za CCM .Mimi nawambia wamesha mharibia mzee wa Mvi mapema
kbm
Kutoa leo hadi tarehe hizo July ni mbali kwa hiyo neno dharula halina nafasi . Nilitegemea wasema kikao cha dharula leo asubuhi hii . Waandishi wetu kama TIGO wa Kigoma kwa kweli .
Ndiyo hapa Kigoma anaitwa TIGO sbabu ya uongo wake na unafiki .Kijana haishi anayo yaongea.Jukwaani anasema hili akishuka anafanya madudu ni muda tu tutayaweka yote hapa tunamvutia upepo .
Umesoma shule ya Kata ambayo mwasisi wake ni Lowasa huwezi kuelewa mkubwa wangu .Tafute UKAWA wakueleweshe wewe ingalikuwa ndiyooooo Bungeni ungali elewa kirahisi au mpango wa kuiba mtonyo .POLE
Sijui kama kiongozi mkuu wa ACT anajua jina hili , ila kwa kuwa ana tabia za kuchochea na kukaa mbali anao wacha nyuma watakuwa wamesha mweleza.
Hapa kigoma sisi hatumwita msaliti hapana . Hapa anaitwa TIGO maana ni mtandao ambao hauna uhakika unakuja na kupotea muda wowote.
Kwa maamuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.