Bhutimbaru
Member
- Jun 22, 2015
- 15
- 11
Mzee Mbunge wa Segerea , waeleze watu wa jimboni kwako una shida gani na wavuja jasho wa Segerea.
Umekuwa na harakati mno hapo polisi Sitakishari,unawakamata vijana na kuwaweka ndani.
Makongoro hata ukiwa waziri na mbunge bado wewe ni mtu kama wao.Ukitumia bodaboda ya mtu shuruti kulipa na ukipishana na hao vijana wa bodaboda kwa maslahi yako ya Kisiasa basi unabakia kuwa mpole.
Kupingwa ni lazima,wewe ni nani hadi usielezwe wanayoyaona wananchi wako?
Ndiyo ni wananchi wako nikimiaanisha wa jimbo lako.Hata kama wako UKAWA kwani ni vita?Si maamuzi?
Punguza matumizi ya nguvu kila muda uko polisi,hatutaacha kutunisha misuli na kuzomeana kila mnapo kutana.