Kigoma Mjini pagumu , wanamwita Tigo

Kigoma Mjini pagumu , wanamwita Tigo

Status
Not open for further replies.
unamaanisha nini ukisema ujiji ambako CCM ndio wameiteka
 
Ngoja nikuambie kitu, kama wananchi wa nchi hii watafanikiwa kuiondoa madarakani CCM au kuidhoofisha ikakosa majority vote ndani ya Bunge basi siasa za nchi hii zitabadilika sana na hizi siasa za ulaghai laghai wa mtu mmoja mmoja ndio zitakoma kabisa. Mifano ipo nchi nyingi tuu ambazo vyama vya ukombozi viliondolewa madarakani.
Nenda tuu hapo Kenya, huwezi kukuta mtu anafanya ulaghai kwa maelfu ya watu as Individual hata kidogo.

Moja hakuna uwezekano wa mwaka huu CCM kushindwa urais wala kukosa majority bungeni, hii option haipo.

Cha pili hakuna nchi Afrika ambayo baada ya chama tawala kutolewa madarakani eti siasa za ubabaishaji ziliisha, sehemu nyingi n mabadiliko hayo yalipotokea ndio kwanza walioingia walioingia walikuja kwa kasi mpya ya kula/ulaghai.

Cha tatu, mie ni mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Kenya, ebu fafanua unamaanisha nin hapa kuwa siasa za ulaghai zimekwisha kenya?
 
Mna hangaika sana ndugu zangu lakini mjue zitto amewashika pabaya sana.inawezekana ukawa hauujui kigoma,rudi kawaambie waliokutuma kuwa kigoma hususani ujiji ni watu hatari sana,tulimezea kwa kaburu kwa sababu alifanya ujinga kurudi ccm but sio kwa zitto kwa taarifa yako,zitto ni kigoma na kigoma ni zitto.

Unamshabikia vipi Zitto ambaye hajafanya chochote kwa mkoa wa Kigoma? Tangu uhuru Kigoma inaendeshwa kwa umeme wa majenereta yaliyochoka yaliyoko Bangwe.
 
Moja hakuna uwezekano wa mwaka huu CCM kushindwa urais wala kukosa majority bungeni, hii option haipo.

Cha pili hakuna nchi Afrika ambayo baada ya chama tawala kutolewa madarakani eti siasa za ubabaishaji ziliisha, sehemu nyingi n mabadiliko hayo yalipotokea ndio kwanza walioingia walioingia walikuja kwa kasi mpya ya kula/ulaghai.

Cha tatu, mie ni mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Kenya, ebu fafanua unamaanisha nin hapa kuwa siasa za ulaghai zimekwisha kenya?

umepotoka sana .
 
Mleta mada anajifurahisha tuu, anajua vizuri Zitto anavyopendwa katika jimbo lote la Kigoma na Tanzania kwa Ujumla. Zitto ataingia bungeni akiwa mbunge aliyeleta record ya mbunge ambaye amechaguliwa na asilimia 95 ya wapiga kura wa jimbo lake
 
Huku kwetu mtandao wa tigo ndio wa uhakika zaidi.

Ila jamani Zitto anawaumiza vichwa.
 
ZZK is a definition of Strong man and how a true leader should be,he is seeing a lot lakini ameweza kustay focused,discuss issues that matters to Tanzania.Mungu akuongezee juhudi katika harakati.
 
Nnaungana na wewe ndugu.
Pia atakuwa mfano mzuri wa mafanikio maana wengi tunamuona anayoyapitia. It is really tough.
Umeniwahi mkuu nilitaka kusema hii kitu,If he manages to rise from this Dark chapter stronger definetely atakuwa ni mfano wa kuigwa.He is fighting too many wars.
 
Mwambieni ukweli Zitto mnadanganya tu maneno yenu maana anauona yeye mwenyewe, kabia kupiga ramli sijui Lowasa na sasa karukia kwa Membe . Kukana kuzomewa mikoani kunaonyesha alivyo vaa mawani ya chuma.Si anakuja Kigoma kugombwa ? Haya mtakuja kumsaidia kwa kuwa ni hapa tunataka kuonyesha kwamba ndugu huyu ni tigo, mtandao wa mashaka muda wote .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom