Nilifikiri mimi peke yangu nimecheka. Huu Uzi umefanya nimecheka sana alfajiri hii. Tunapitia mengi, watoto na wajukuu wetu watapata cha kusimuliwa. Maisha siyo mchezo.
Kwa kifupi watoto/wanafunzi wanaomaliza Elimu ya Sekondari mpaka vyuo miaka hii ya 2000's sijui wana nini! Vichwani wengi wao wepesi sana. Dah! Hata sijui kwa kweli miaka ijayo tutakuwa na wasomi wa aina gani
Nimekumbuka, Kuna dogo wa UDSM alisema anasomea political science! Kujieleza ilikuwa ni shida. Kuna dogo mmoja alitokea Chuo fulani cha Malawi alikuwa yuko vizuri sana! Halafu yule bwana aliyekuwa anauliza maswali alikuwa smart sana .
Mh. Dr. Mwigulu Nchemba kupitia comments hapa jamvini, nadhani unapata picha juu ya utendaji wako . Kwa kifupi watanzania hawaridhiki na utendaji kazi wako. Mkipewa dhamana kusimamia hizi ofisi za serikali, simamia kwa uadilifu, acheni tamaa na upigaji. Mimi nasikitishwa sana na kuporomoka kwa...
Huyu mleta mada ni mwalimu mwenzake, amejiunga humu ili kumchafua mwenzake. Kweli adui ya mwalimu ni mwalimu mwenzake. Jinga wewe badala uchukue hata chaki uuze unaleta majungu humu, jiongeze. Utakufa mk*d uko juu.
Pole sana mkuu! Lakini nimejiuliza, kama ni zahanati ya kata maana yake na wewe ni mkazi wa hapo hivyo mnafahamiana, je, hukuwahi kuingia naye mgogoro kabla?? Pole sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.