Huu uzi umesaidia kufunua historia kubwa ambayo watu hawakujua. Ni jambo la kupongezwa. Lakini, Yesu kuwa mweupe au mweusi, kuwa Jesus au Yashuwa, yote hayana msaada kwangu.
Najua neno moja tu kwamba Mwana wa Mungu aliyetolewa na Mungu, akazaliwa kama mwanadamu, akaitwa jina Yesu, akafa kifo...