Recent content by Bhojo

  1. Bhojo

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Mkuu nirushie pm
  2. Bhojo

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    OK, maana kiunganishi cha kujisajili hakuna
  3. Bhojo

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Cjakupata kaka, maana sie tunaofungua kwa Mara ya kwanza haikubali
  4. Bhojo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Chief, Tccl menyu yao kubata mabando yao ya usiku n ipi?
  5. Bhojo

    Msaada: Kozi nzuri ya masters kwa aliyesoma BSc Ed (Mathematics&Geog)

    OK, na utaratibu was kuomba udhan was kusoma nje ukoje??
  6. Bhojo

    Msaada: Kozi nzuri ya masters kwa aliyesoma BSc Ed (Mathematics&Geog)

    Habar, mm pia ni muhtimu wa chuokikuu, nataman sana kusoma masters japo sijui nianzie wapi. Nimemaliza chuo mwaka huu (2020). Ni mwalimu wa mahitaji maalumu (BED SPED). Naomba mwenye kunipa muongozo ni vyuo gan vyenye kutoa masters hapa nchini na hata ughaibuni kwa huo mchepuo. Na mchakatomzima...
  7. Bhojo

    Kujifunza programming bila kwenda chuo

    Hi, mm nimemaliza chuo nina hamu sana kujua computer hasa programming, sijui nianzie wapi wakuu.
Back
Top Bottom