Recent content by Bhavick

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Uhuru Shule kwa Viongozi wa Bongo

    Umeifanya cku yangu kuwa ya furaha sana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Asante sana Zitto.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Unachoongea kinaweza kuwa kweli,lakini kaa chini ujiulize,ondoa uccm wako na ucdm wako,jiulize, -kwa nini Mwigulu aliposema nina ushahidi hakukamatwa? -kwa nini huu mkanda umetoka baada ya Kibanda kufanyiwa vile? Wakati fulani tuache siasa kwenye mambo ya msingi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

    Du hii kali!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjua msichana mwenye mapenzi ya dhati na ya kweli!

    Hakuna mwanamke wa kweli dunia hii!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    -Nunu sya nkikulu. -Ntwanga pa nyuma. -Nasekile Kakongobe.majina ya watu haya
  7. B

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Uchaguzi mdogo wa mitaa Magu: CHADEMA yaigalagaza CCM

    Yaani leo mpaka raha!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    "Wakati yuko kwetu,hatukuuona umuhimu wake,leo kaondoka hatuoni pengo lake" Hiyo ni kauli ya BAVICHA Mby.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri!

    Sasa nina miezi miwili,nafikiri ntafikisha hiyo miaka miwili na kuendelea!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ambaye yupo tayari

    Mi nipo tayari lakini cna umri huo! Utanisaidiaje?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Rungwe afanya madudu tena

    Kwa ninavyopafahamu Kiwira,huyo mwenyekiti atakuwa wa Ccm tu,maana pale pana vitongoji 11,na vyote viko chini ya Ccm,ila Mh diwani ndiyo anatoka chama kile cha Cdm.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri!

    Ndio mkuu!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri!

    Sina nia hiyo mkuu,ni kweli nimetendwa vibaya,mpaka nahisi kama nina mkosi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri!

    Baada ya kutendwa zaidi ya mara 3,na hawa mabinti wa Mama Salma, Sasa nimeamua kuwa peke yangu mpaka kifo kinichukue.JE KUNA MADHARA NTAYAPATA?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Laana? Mkutano wa CCM wasambaratishwa na nyuki

    Du hii kali.
Back
Top Bottom