Recent content by bhahebula

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bango la "Mwizi Mkenya!" Mlimani City ni Ubaguzi!, Udhalilishaji!, na Very Undiplomatic Gesture!.

    Kweli na udhalilishaji na ukiukaji wa haki kisheria, hata kama tunachukia wizi. Na mleta post pia, ingawa umekerwa na kitendo hiki, maelezo yako yako emotional sana kiasi kwamba na wewe unaweza kujikuta unakiuka haki za wasomaji wa post yako
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa punguzo hili la Kodi: Asante Rais Magufuli kwa kunijali mtumishi wa umma

    Kumbe imepungua! Mweka uzi ana haki ya kupongeza, na watumishi waifurahie serikali yao sikivu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mnataka democrasia wakati kwenu hamna!!

    Amenichekesha, eti kura za Ndiyoooooo kama bungeni kwao
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na Elimu Bure, ni gharama sana!

    Hakukuwa na tathmini makini ktk kuliamulia hili taifa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

    Kupiganiwa kuna maana nyingi. Kupigana wao kwa wao wakikugombania. Wore wawili kupigana na kitu kwa niaba yako au mahali ambapo wewe ndiye ungepigana. Wao kujitoa/kujitolea kupigana na adui yako ili kukukinga asikudhuru
  6. B

    JamiiForums Tanzania Siri za Malasusa kumega kanisa zavuja

    Sijui kama kabla ya kusema hayo anafanya sala kwanza! Maana haviendani na mazingira ya sala!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    Hiki king'amuzi kinasumbua kweli. Mara nigeize kama nafuata uelekeo wa upepo! Sasa tangu jana kimekata channel zote, kinaonyesha TBC1 peke yake wakati mimi huwa sipendi kuangalia channel hiyo ya taifa! Nyingine zote za local naambiwa recharge! Nisaidieni ushauri. King'amuzi ni cha kampuni hiyo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Serikali yatimiza ahadi, Kigoma yageuka Dubai ya Afrika

    Ah! Kgm ilishafika mbali mwaka 2015. Check hapo ktkt ya mji palivyopaishwa. Check like ghorofa la stesheni kule mwisho ktk picha kinavyong'aa! Bado huenda umejengwa mtandao wa barabara za lami ndani ya manispaa na kuunganisha wilaya zote za mkoa. Ni mkoa gani Tz unaoweza kuufikia huu wa Kgm...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kunyonyesha ukiwa mjamzito?

    Nimefurahishwa na ushauri na uzoefu huu
  10. B

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    Hata Mimi nadhani hatuwezi kupambana na ushoga kwa nihemko na sheria ndogondogo. Hili ni suala kimaadili na haki za kibinadamu. Tunaweza kilichukia sana kwa muda ambao wataalam na wanaharakati hawajalisimamia kwetu kiasi cha kutosha. Approach ya mafundisho ya dini no muafaka zaidi. Ingawa hata...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

    Mimi nitajitahidi nisiwe msaliti kwa jamii pana. Nikiwa upande wa wakoloni wanaokandamiza wapigania uhuru nitasalia huko au nitajitahidi kuhamia kwa wapigania uhuru, ila sipendi kubaki ktk pande zote mbili, ni usaliti
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya siku zote ni makada wa CCM, hawa majenerali wameteuliwa kwa kigezo gani?

    Kwani daktari anazuiliwa kujiunga na chama cha siasa! Kuna watu wana hoja dhaifu!
  13. B

    JamiiForums Tanzania KESI YA UCHOCHEZI: Tundu Lissu apandishwa kizimbani, apata dhamana, kesi yaahirishwa hadi Agosti 2

    Wakoloni walitumia roho ya ukatili wao kwa wazalendo kwa kufanya makosa kama haya haya, kumbe ndio njia ya uhuru kupatikana kwa wazalendo
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA Joseph Mbilinyi, Kubenea na James Millya wasimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge

    Watu walishaamua hawaingii bungeni; unawapa adhabu ya kutoingia bungeni! Hiki chama bana!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tuusaidie upinzani kupata hoja ya kujishikiza!

    Kumbe wewe unataka watumie njia za kurushia upuuzi!
Back
Top Bottom