Mnataka democrasia wakati kwenu hamna!!

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
228
Huwa siwaelewi CHADEMA wanapopiga makelele eti Mh.Rais anabaka democrasia!!hivi Mh.Mbowe amekalia miaka mingapi uenyekiti wa chama?? mbona hampii kelele???hivi kati ya CCM na chadema ni wapi ambapo unaweza kusema kuwa kuna hata chembe ya democrasia?? unaweza kulinganisha mchakato Wa urais ndani ya CCM na CHADEMA?

Ndani ya CHADEMA mgombea urais anapatikana kwa kura za ndiyoooooo tena za kulazimishwa! mwanachama anajiunga Leo kesho anapewa tiketi ya kugombea urais akishindwa oooooh tumeibiwa kura!!you are not serious!! hivi katika nchi ambazo kuna stable democrasia ulishawahi kuona mwanachama anajiunga leo na chama halafu kesho anapewa form ya kuwania urais???ndani ya CCM ulishawahi kuona hilo?

Ndiyo maana CCM iko stable mpaka sasa!!Mrema alitikisa but CCM iko stable!!Lowassa akajitekenya eti anaondoka na CCM !!CCM imetulia tulii!!Kingunge akasema eti CCM imeishiwa pumzi kana kwamba yeye ndiye aliyekuwa pumzi,Leo CCM inasonga mbele!!!Leo mh mbowe akihama chama nawambieni CHADEMA kwishinei!!

matusi sitaki!!
 
lendomza hiyo ya Mbowe kuwa Nkurunzinza ni ndogo, kuna hii sheria kandamizi ya mwanachama wa CDM ukiishtaki CDM mahakamani na ukashindwa kesi umejifukuzisha uanachama, hawa watu wanapiga kelele kila mwananchi awe huru kutumia haki yake ya kwenda mahakamani ila wao kwenye chama wamepiga nyundo, huu ni unafiki wa hali ya juu. Walitumia sheria hii kumfukuzia Zitto, na wanajiita chama cha demokrasia.
 
Ebu nikumbushe wewe mbulula, ivi magufuli anagombea uenyekiti dhidi ya nani??? pia kumbuka magufuli anaongoza Tanzania na si ccm pekee wewe ndg mbulula
Kwa Hiyo unataka Huko kukosa demokrasia wa kwenye Chama tumwachie aulete kwenye taifa? Penye ma wingu ujue mvua inakuja
 
Lendomza
Hivi, umefikiri nini hadi kuuleta uzi huu? Hivi jirani yako akiwa na utamaduni wa kuoga nje nawe utamuiga? Kama kweli ccm kuna demokrasia imeanza kwenda likizo kwa taarifa yako. Haiwezekani legend la demokrasia kufundishwa na underground.

Chadema kuna demokrasia nzuri kuliko huko ccm mnakopeana uenyekiti kinyume cha katiba yenu. Ccm jifunzeni kutoka chadema kwani naona jinsi mnavyoitekeleza ilani yao ya uchaguzi. Chadema watengenezeeni ccm sera nzuri za kuijenga nchi kiviwanda.
 
Huwa nashindwa kuelewa serikali ya

Huwa nashindwa kuelewa akili za baadhi ya watanzania wenzangu,akili yangu huwa inaniambia Serikali ni baba wa kila kitu kwenye nchi husika,serikali ikiwa ya hivyo maana yake itaweza misingi ya hovyo ya uongozi na utawala wa nchi na kila kitu kilichopo ndani ya nchi hiyo kitakuwa cha hovyo,iwe chama cha siasa,Mpira,ngumu nk.sasa hawa watanzania wenzangu wanataka serikali ijifunze democracy chadema badala ya chadema kujifunza kwenye serikali na chama kilichounda serikali for 54 years.anyway ndo nchi yetu hii
Huwa siwaelewi CHADEMA wanapopiga makelele eti Mh.Rais anabaka democrasia!!hivi Mh.Mbowe amekalia miaka mingapi uenyekiti wa chama?? mbona hampii kelele???hivi kati ya CCM na chadema ni wapi ambapo unaweza kusema kuwa kuna hata chembe ya democrasia?? unaweza kulinganisha mchakato Wa urais ndani ya CCM na CHADEMA?

Ndani ya CHADEMA mgombea urais anapatikana kwa kura za ndiyoooooo tena za kulazimishwa! mwanachama anajiunga Leo kesho anapewa tiketi ya kugombea urais akishindwa oooooh tumeibiwa kura!!you are not serious!! hivi katika nchi ambazo kuna stable democrasia ulishawahi kuona mwanachama anajiunga leo na chama halafu kesho anapewa form ya kuwania urais???ndani ya CCM ulishawahi kuona hilo?

Ndiyo maana CCM iko stable mpaka sasa!!Mrema alitikisa but CCM iko stable!!Lowassa akajitekenya eti anaondoka na CCM !!CCM imetulia tulii!!Kingunge akasema eti CCM imeishiwa pumzi kana kwamba yeye ndiye aliyekuwa pumzi,Leo CCM inasonga mbele!!!Leo mh mbowe akihama chama nawambieni CHADEMA kwishinei!!

matusi sitaki!!
 
Huwa siwaelewi CHADEMA wanapopiga makelele eti Mh.Rais anabaka democrasia!!hivi Mh.Mbowe amekalia miaka mingapi uenyekiti wa chama?? mbona hampii kelele???hivi kati ya CCM na chadema ni wapi ambapo unaweza kusema kuwa kuna hata chembe ya democrasia?? unaweza kulinganisha mchakato Wa urais ndani ya CCM na CHADEMA?

Ndani ya CHADEMA mgombea urais anapatikana kwa kura za ndiyoooooo tena za kulazimishwa! mwanachama anajiunga Leo kesho anapewa tiketi ya kugombea urais akishindwa oooooh tumeibiwa kura!!you are not serious!! hivi katika nchi ambazo kuna stable democrasia ulishawahi kuona mwanachama anajiunga leo na chama halafu kesho anapewa form ya kuwania urais???ndani ya CCM ulishawahi kuona hilo?

Ndiyo maana CCM iko stable mpaka sasa!!Mrema alitikisa but CCM iko stable!!Lowassa akajitekenya eti anaondoka na CCM !!CCM imetulia tulii!!Kingunge akasema eti CCM imeishiwa pumzi kana kwamba yeye ndiye aliyekuwa pumzi,Leo CCM inasonga mbele!!!Leo mh mbowe akihama chama nawambieni CHADEMA kwishinei!!

matusi sitaki!!
Sitaki kuamini kuwa hakuna hata kijana au mwanaswisswism kuwa hana Logic na Point hata moja kichwani mwake mfano wewe.
Katiba ya CDM haina time limitation ya kugombea uongozi ndani na nje ya chama.
Pili Demokrasia ya Chama ina wigo finyu tofauti na Demokrasia ya nchi nzima.
Demokrasia ya Chama ni uhuru wa kikundi cha watu fulani wenye itikadi,falsafa,mrengo na mtazamo wao kivyao TOFAUTI na Demokrasia ya nchi ambayo hubakwa na viongozi wa Kitaifa ambapo ina maslahi kwa Taifa zima pasipo kujali Itikadi wala chochote wala kikundi inaongelea Majority and not minority.
Ni vema wanaswiswism WOTE VIONGOZI NA WASIYO VIONGOZI mkageukia Mungu na kuungama dhambi zenu hasa kwa laana za Watz. na Mungu pia kushindwa kuletea Watz. maendeleo hata yale ya msingi toka kuumbwa kwa sayari ya Dunia ilikhali nchi yetu imebarikiwa kuwa na Neema ya kujaa Maziwa na Asali na Rasilimali zote.
PERIOD MBADILIKE KWANI KUNAKUTOA HESABU KWA KILA MMOJA JE MNALITAMBUA HILO AU KUFIKIRIA UBINAFSI TU!!!!!!!!
 
Msingi wa hoja zako ni "....ingetokea Mkapa au Kikwete.....angebadili vipengele vya katiba.....kuhusu terms...ingekuwaje......" Ulionyesha jinsi usivyouelewa utaratibu wa kikatiba wa kufanya marekebisho ya katiba ya nchi. Mengine yako mwenyewe yatakusaidia kupata bk 2.
Nyie vijana mnafikiri kila anayewaambia ukweli ni CCM, wengine ni tumechoka tu na usanii wenu, CDM was a best tool kupambana na ufisadi na incompetence, kwa sababu kimekuwa dodoki la mafisadi na kumbatio la wazembe. Mnaleta hoja zisizo na mashiko za demokrasia ili mradi mmemusumbua Magu tu wakati hata ndani ya CDM hakuna demokrasia, 2020 si mbali, kama ulidhani ni CCM ndiyo inayofunzwa tu basi sasa ni zamu ya CDM.
 
Huwa siwaelewi CHADEMA wanapopiga makelele eti Mh.Rais anabaka democrasia!!hivi Mh.Mbowe amekalia miaka mingapi uenyekiti wa chama?? mbona hampii kelele???hivi kati ya CCM na chadema ni wapi ambapo unaweza kusema kuwa kuna hata chembe ya democrasia?? unaweza kulinganisha mchakato Wa urais ndani ya CCM na CHADEMA?

Ndani ya CHADEMA mgombea urais anapatikana kwa kura za ndiyoooooo tena za kulazimishwa! mwanachama anajiunga Leo kesho anapewa tiketi ya kugombea urais akishindwa oooooh tumeibiwa kura!!you are not serious!! hivi katika nchi ambazo kuna stable democrasia ulishawahi kuona mwanachama anajiunga leo na chama halafu kesho anapewa form ya kuwania urais???ndani ya CCM ulishawahi kuona hilo?

Ndiyo maana CCM iko stable mpaka sasa!!Mrema alitikisa but CCM iko stable!!Lowassa akajitekenya eti anaondoka na CCM !!CCM imetulia tulii!!Kingunge akasema eti CCM imeishiwa pumzi kana kwamba yeye ndiye aliyekuwa pumzi,Leo CCM inasonga mbele!!!Leo mh mbowe akihama chama nawambieni CHADEMA kwishinei!!

matusi sitaki!!
Kwani sisi ndio kipimo chenu cha utendaji???
Tendeni vyema mpate uhalali wa kunyoosha kidole cha onyo.

Ni kweli umejishtukia kuwa unastahili kutukanwa!!
Jichagulie tusi ujibandike kwenye paji la uso wako kila mtu akikuona tu anaku.......
 
Nyie vijana mnafikiri kila anayewaambia ukweli ni CCM, wengine ni tumechoka tu na usanii wenu, CDM was a best tool kupambana na ufisadi na incompetence, kwa sababu kimekuwa dodoki la mafisadi na kumbatio la wazembe. Mnaleta hoja zisizo na mashiko za demokrasia ili mradi mmemusumbua Magu tu wakati hata ndani ya CDM hakuna demokrasia, 2020 si mbali, kama ulidhani ni CCM ndiyo inayofunzwa tu basi sasa ni zamu ya CDM.
Tumekugundua, unatafuta kurudishwa UDOM, hongera kaza buti!!! Si unaona makonda anakula kwa nyama, hata pole pole naye tartiiiibu anabonyeza kizenji.
 
Back
Top Bottom