Recent content by bhageshi

  1. bhageshi

    Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

    ZZK ULAJI KWISHA LIMEBAKI DOMOKAYA
  2. bhageshi

    Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    Kura zingekuwa zinapigwa mitandaoni..
  3. bhageshi

    Tundu Lissu apanga kulitikisa Bunge na Taifa

    Hana jipya, mapendekezo ya Bunge ambyo yeye Tundu alikuwa mchangiaji mkuu waliaachia mamlaka ya uteuzi. mamlaka hiyo ilijiridhisha na kuona hawana hatia. yeye kama anao ushahidi muhimu aende mahakamani akafungue kesi kama livyokuwa akifanya Mtikila, asingoje kwend kubwabwaja bungeni sehemu...
  4. bhageshi

    Dr. Magufuli usitutoe vibanzi wakati una boriti jichoni kwako

    Wote tuliompa kura kuwa Mhe. Rais wa JMT maana yake tulimsamehe. acha apige kazi
  5. bhageshi

    Kati ya makampuni yaliyokwepa kodi mbona hatusikii yanayomilikiwa na Lowassa?

    Mleta mada weka ushahidi ni wapi lowasa laituhumiwa kwa kwepa kodi. lowasa ametuhumia kwa kufisidi nchi, ufisadi na ukwepaji wa kodi ni vitu viwili tofauti japo vyote vinaathari katika mfuko wetu wa hazina. mpk
  6. bhageshi

    Je, Matumizi anayoyakataa Magufuli hayakuidhinishwa na Bunge la Bajeti?

    Bajeti inayopitishwa na Bunge haina shida ndugu yangu, tatizo lipo kwa wa serkali wserkaliakutumia yao vibaya kutumimamlakakutumiaafedha hizo kutumikutummaneno mazuri ya kiuhasibu na kiutawala ilimradi watafune hela hizo. Na hii hupelekea wizara flani kupokea na kuifanya hazina kufanya...
  7. bhageshi

    Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Ukiangalia mapanamapainaweza ikawa ndio hao tatizo ni kwamba wao hawakuanguka signatures wapo waliojifanya vihelehele wa kubebeshwa mizigo kuifikisha sehemu husika hao ndio watakao umia na wakome kubeba vya haramu kwa niaba ya wengine
  8. bhageshi

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Wewe ni Thomaso utabaki na umbumbumbu wako hivyohivyo. Hizo fedha siku ya Ijumaa alikuwa anatolea ufafanuzi wa maamuzi waliokuwa wamekubaliana na Speaker allipopelekewa kwa ajili ya kuidhinisha. Na kama ulimsikia vizuri siku ile alipokuwa anazungumzia akasema naambiwa tayari fedha zimekwisha...
  9. bhageshi

    GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    Juma atuache, hatuchagui rais wa IMF na WB au wa EU kwa hali ilivyo sasa nchini let consider our beloved country as a company and therefore tunamtafuta Manager atakaeweza kumanage vizuri idara mbalimbali atakaeweza kumanage our natural resources and maximize outputs. Huyo leader anaemtaka yeye...
  10. bhageshi

    Uchaguzi na hatma ya watumishi wa umma

    Watumishi wa umma hawana cha kuhofu wao ni watendaji wa umma wanatumikia umma na kuripoti kwa serikali tawala au chama tawala, sheria zipo zinawalinda katika shughuri zao, akienda kinyume na sheria na taratibu za kazi anaadhibiwa hata sasa. Ningekuona kama suali lako liwe na mashiko useme...
  11. bhageshi

    Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    Anapendwa kaskazin, kwingine tumemshtukia huyu kiumbe
  12. bhageshi

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Na nyie watu wa tabora mbadilike, kila muhura mmnawakilishwa na wasomali, kama sio msomali familia ileile hakuna jipya, mbunge alikuwa sita magreth ni mkewe mie naamini alikuwa pia mshauri wa sita, kama sita amefeli kulitetea jimbo kero zake serikalini maana yake huyo mama naye alifeli...
  13. bhageshi

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Kwa nn useme magreth sita kwani ccm wamekwisha mpitisha huyo wakati watia nia wapo wengi tu wa ccm.
  14. bhageshi

    Yona/Mramba case: Innocent men wrongly convicted?

    Mmetulisha nyasi bado mnalalamika ngoja nao waonje hata hizo siku mbili. Case kuchukua siku nyingi ilikuwa ni justification ya zimwi likujualo halikuli likakwisha. Hiyo adhabu ni chamtoto na ingepaswa kupigwa within a yr. Hii nchi tunadharauliana sana. Ipo siku...TUTAHESHIMIANA TU
Back
Top Bottom