Recent content by BFREDDY

  1. B

    Ridhiwani Kikwete akana kufanya biashara na Polisi

    Hata akatae tunajua yeye anahusika.Mbona anahusika kwenye mambo mengi kama mabasi ya mwendo kasi nk.
  2. B

    Wenye matatizo ya nguvu za kiume na Wanawake ambao hawajazaa

    Hiyo dawa inapatikana wapi hujatuwekea hata namba za mawasiliano huo si utapeli?
  3. B

    Msaada anayeijua Tanga Tech

    Tanga school bweni bora Nyati bro mtu asikudanganye.Ila be care na MBUNI.
  4. B

    Msaada anayeijua Tanga Tech

    Uwe makini na Kwanjeka.
  5. B

    Msaada anayeijua Tanga Tech

    Mimi nilipitia Tanga Tech muda mrefu mazingira yalikuwa mazuri sijui sasa hivi.Unachukua Combination gani? Wewe ni mvulana au mwanamke?
  6. B

    Biashara ya kutoa huduma ya pesa kwa njia ya mitandao ya simu

    Wapendwa wana JF hamjambo? Nataka kuanzisha biashara ya Tigo pesa,m-pesa na airtel money.Nifuate taratibu zipi na niwe na mtaji wa kiasi gani? Naomba kwa wenye uelewa wa hilo anijuze
  7. B

    Mwenye taarifa kuhusu mikopo ya elimu ya juu

    Kwa yeyote mwenye fununu ni lini watatoa tangazo la mikopo anijuze tafadhali.
Back
Top Bottom