Msaada anayeijua Tanga Tech

Msaada anayeijua Tanga Tech

Mkuu umenikumbusha mbali sana...nilisoma hapo headmaster akiitwa TETi
Mkuu huenda tulikuwa wote hapo, mimi nimepita hapo 1987 to 1990 nilikuwa bweni la Twiga
bd21ad8b026d2a78f617fd216aed491d.jpg
 
Ha haaa Teti alikuwa ananiogopesha. Yaani nikimuona natetemeka..akija assembly nahisi kujikojolea..nahisi suspension hiyooo inakuja kwangu. Hata kama hakuna kosa nililofanya. Tanga School ilikuwa nzuri sana enzi hizo

Teti alikuwa mkali sana? Alimshindwa kijana wake Godlove (RIP) dogo alikuwa kapinda vibaya!
Alihamishiwa shule ya ufundi Moshi from tanga school.
 
Tanga school, shule ya sifa toka enzi jerumani sifa zetu zimeenea sasa imekua ndio taa........... Ilikua poa sana. Teti alistafu kitambo na huwa anaalikwa kwenye graduation . Kijazi alihama . Mjema amekua mkuu wa shule flani Tanga. Saiz mkuu wa shule anaitwa mwakanyamale baada ya kinala aliyempokea teti kustaafu. Wazee waliobaki ni zubery, mkangazi, shah said, nkanyemka na kasongo
 
Zuberi kastaafu kapokewa na Kasongo Department ya civil engineering ,Mkangasi yupo bado umeme sambamba na shehe said kule welding nilihudhuria maafali apo last year sambamba na Tanga sport day kama mgeni mwalikwa , Tanga Tech shule yangu , Kwa sasa mbele ya mbuni bweni la wadada kuna bweni la kiboko na wanakaa fomu one madogo ambao hawana madhara mana wanatazamana na ladies kwa mbele ni masink then mbele ni DH
 
PoPoa mwana kiungani mwenzangu
 
Wana JF naomba msaada kwa waliosoma na wanaosoma Tanga tech a-level kuhusu kitaaluma, mazngira, wanafunzi, walimu na shule kiujumla maana nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu...
Mimi nilipitia Tanga Tech muda mrefu mazingira yalikuwa mazuri sijui sasa hivi.Unachukua Combination gani? Wewe ni mvulana au mwanamke?
 
Tanga school bweni bora Nyati bro mtu asikudanganye.Ila be care na MBUNI.
 
Wana JF naomba msaada kwa waliosoma na wanaosoma Tanga tech a-level kuhusu kitaaluma, mazngira, wanafunzi, walimu na shule kiujumla maana nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu...
sio nzuri ukikompare na shule za jirani mfano.......usagara is the best school .msosi self service...sponsored by rotary club.........only a level ndo wako bweni so mnakaa a level peke yenu.......ishu boy akitaka kupigisha mapindi anaanzia usagara...ipo karibu na town.....you can choose to stay at park hostel or in campus .......in short usagara imekaa kishua zaidi,unasoma bila stress..........fanya mpango uhamie usagara you wont regret
 
Ww unaijua kiungani kweli yani una compare na usagara hivi hujui raisi wako mstaafu ni mwana kiungani nae? TTS bado ni top school sio Tanga tu bali inashika chat pia ktk shule bora kabisa za serikali kwani ni first government school
 
ndio ni first government school.........na kweli raisi kikwete amesoma pale...but kumbuka kikwete hakusoma pale 2016 na wakati anasoma hakuwa raisi..........acheni kumpoteza kijana wetu shule ya tanga imechoka kwa kila kitu limebaki jina tu.dogo usikubali hamia usagara au galanos tanga michosho tu
 
Atleast Galanos but not usagara kabisa pale ni centre sana dogo atakaa hostel kule tigo akijisahau kidogo tu na warembo wa tanga lazima apige mzinga wa nguvu, Kama atapata chance tanga tech basi ni pazuri pana ticha masiku yani mnyama physics amemjaa kichwani mpaka anamwagikia
 
Usagara ni nzuri lakini haifikii Tanga Tech hata kidogo. Tanga Tech kuna ratiba nzuri ya masomo, chakula, michezo, n.k. Nimesoma Tanga school miaka 4 na ratiba haikubadilika hata siku moja labda siku za sherehe ambazo tulikula msosi mzuri zaidi. Tanga Tech kuna facilities nyingi huwezi linganisha na Usagara, kuna library, laboratories, workshops, nursery ya miti na maua, dispensary, mabweni makubwa, msikiti, viwanja vya soka, basketball, volleyball, handball, pia kuna table tennis, running track kwa riadha, kurusha tufe,kurusha mkuki, long jump N.k. Usagara ni kama shule ya kata tu hostel ziko mbali na shule. Ukiwa Tanga school ni zaidi ya nyumbani unaweza kaa mwezi hujatoka nje ya shule na wala hujiskii vibaya na saiz kuna flat screen kubwa pale dining hall so weekend unaenjoy tu. Tanga Tech maua popote huchanua, usagara majani popote hunyauka
 
Usagara ni nzuri lakini haifikii Tanga Tech hata kidogo. Tanga Tech kuna ratiba nzuri ya masomo, chakula, michezo, n.k. Nimesoma Tanga school miaka 4 na ratiba haikubadilika hata siku moja labda siku za sherehe ambazo tulikula msosi mzuri zaidi. Kimbembe nilipoenda A level kigonsera mbona nilitamani kurudi kiungani. Tanga Tech kuna facilities nyingi huwezi linganisha na Usagara, kuna library, laboratories, workshops, nursery ya miti na maua, dispensary, mabweni makubwa, msikiti, viwanja vya soka, basketball, volleyball, handball, pia kuna table tennis, running track kwa riadha, kurusha tufe,kurusha mkuki, long jump N.k. Usagara ni kama shule ya kata tu hostel ziko mbali na shule. Ukiwa Tanga school ni zaidi ya nyumbani unaweza kaa mwezi hujatoka nje ya shule na wala hujiskii vibaya na saiz kuna flat screen kubwa pale dining hall so weekend unaenjoy tu. Tanga Tech maua popote huchanua, usagara majani popote hunyauka
mkuu uko wapi kwa sasa unaonekana uko very updated na shule yako sana Hio flat nimeiona ata mimi juzi
 
Mi ni dogo tu brother, nimemaliza juzi tu hapo Tanga school. Shule yetu imepoteza dira siku hizi na baada ya walimu wakioongozwa na mkuu wao kutokua na vision yoyote na wamebakia kua wapiga dili wakubwa. Utakuta mwanafunzi anatoroka kwenda kwao mwezi mzima lakini uongozi hauchukui hatua yoyote na mkuu anasaini log book kila siku. Kuanzia mwaka 2007 shule inashuka kwenye rank za necta. Inabidi mkuu dictator awekwe kwa sababu watu wanaifanya shule ni Yao na si ya serikali , sijui labda watakua wamebadilika mi nilivoondoka
 
sio nzuri ukikompare na shule za jirani mfano.......usagara is the best school .msosi self service...sponsored by rotary club.........only a level ndo wako bweni so mnakaa a level peke yenu.......ishu boy akitaka kupigisha mapindi anaanzia usagara...ipo karibu na town.....you can choose to stay at park hostel or in campus .......in short usagara imekaa kishua zaidi,unasoma bila stress..........fanya mpango uhamie usagara you wont regret
Unampoteza dogo Usagara imekaa kianasa anasa tu huwezi compare na Tanga tech.
 
Mkuu huenda tulikuwa wote hapo, mimi nimepita hapo 1987 to 1990 nilikuwa bweni la Twiga
bd21ad8b026d2a78f617fd216aed491d.jpg
heshima yako mkuu.yani umemaliza form four hata me sijazaliwa?kumbe tuko na watu mmeenda age sana humu
 
Back
Top Bottom