Wapendwa wana JF hamjambo? Nataka kuanzisha biashara ya Tigo pesa,m-pesa na airtel money.Nifuate taratibu zipi na niwe na mtaji wa kiasi gani? Naomba kwa wenye uelewa wa hilo anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.