Wenye matatizo ya nguvu za kiume na Wanawake ambao hawajazaa

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,608
9,811
Habari zenu wadau

Wahenga walisema penye watu wengi haparibiki jambo

Kumekuwepo na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linlopelekea mpaka wanaume wengi kushindwa tungisha mimba na hii yote hutokana na tatizo la mchango kwa wanaume hii michango inatokana na sababu mbali mbali kama vile vyakula na mazingira tuliopo hivyo hujikuta mtu mwenye nguvu badae nguvu hupungua

Nahii hupelekea hata mtu mwenye nguvu kabisa za kiume unakuta mda furani a nashindwa kabisa simamisha ili hali huwa anasimamisha hii hali hutokea mtu kwa mda ila badae hupotea na mtu kurudi katika hali yake nguvu za kiume kumrejea hii yote husababishwa na michango


Hivyo basi kwakua hili ni tatizo Sugu wengi wamejikuta wanaitumia vidonge na dawa mbali mbali ila tatizo haliishi kwakua hutibu tatizo kwa mda kwani na badae hujirudia hivyo mtu huwa mtumwa kutwa kumeza dawa

Sasa nataka kusema nini miye siyo mganga wala mtatibu ila katika pita pita na tembea tembea ya maisha nimekutana na suruhisho la tatizo hili

Ikiwa wewe nguvu ndogo basi ipo dawa ni mti shamba unakunywa si inakupa nguvu za mda hapana inatibu kabisa tatizo lako ikiwa hata tatizo la mbegu zakiume hazina uwezo wa kuzalisha basi dawa hii ndio suruhisho naongea kwa ushahidi na ninao uhakika ukitaji siyo bei sana ni shilingi elfu tano tu hii kwanini elfu tano hii sawa na pesa ya nauli ya mtu aliyeuleta huo mti toka porini kuja mjini na kuundaa

Haya wale wadada wanaosumbuliwa na uzazi yani ambao wanapata bridi na wale ambao hawajatolewa kizazi na hawajavuka umri wa miaka arobaini na tano ikiwa wewe ni mmoja wapo alafu huzai na unadalili zifuatazo basi suruhisho lako lipo
Dalili
Kama unapofanya tendo la ndoa unahisi maumivu chini ya kitovu na haushiki Ujauzito nitafute suruhisho lipo

Ikiwa unapata bridi ambayo haeleweki yani Mala mwezi huu upate mwezi ujao hupati au haujui bridi huwa unaenda siku ngapi na wewe hupati Ujauzito nitafute suruhisho lipo


Angalizo
Miye siyo mganga wala mfanya biashara nimeamua kushare kitu nilichokijua na Nina uhakiki nacho ili mwenye tatizo anayeitaji msaada atatue tatizo lake
 
Back
Top Bottom