Recent content by BEZO JR

  1. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakuna sure option mzee. Dakika 0-15 kote huko? Wakati sportybet ni dakika 0-5 Na wajinga wanatoa hata goli mbili ndani ya hizo dakika 5
  2. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Mtu kureport ametukanwa kisa kazidiwa hoja ni utoto

    Wanataka kukulima ban?
  3. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Mtu kureport ametukanwa kisa kazidiwa hoja ni utoto

    Imekuaje tena mzee,
  4. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Ikikaa sawa mtatujuza tutarudi..kwa sasa nyie endeleeni.
  5. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Irudishe ya zamani mkuu...binafsi pia nmeshindwa kuitumia...nmeamua kurudi kwa App ya zamani kwa kupakua APK FILE...na ku install
  6. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

    Aiseee,
  7. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

    Sisi wanaume hutaki tuje PM?
  8. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

    Acha kujielezea sana,,mpe hela.
  9. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Mi nimeamua kuirudisha App ya zamani mkuu...maana video hazi play,kule inbox inaleta upside down kwenye hii app mpya.. Better wangekuwa wanafanya maboresho madogo badala ya kuanza upya...
  10. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Mbona bado unayo mkuu..naiona hapa kwa ID yako..au kwa vile nakuona kupitia app ya zamani
  11. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Yeah
  12. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Un install hyo ya sasa halafu install tena...utapata access ya app mpya ambayo mi binafsi nmeshindwa kuitumia.
  13. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Kwa nini huitaki hii mpya?
  14. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Anha,hilo nilikuwa silijui mkuu.
Back
Top Bottom