..'mchakato unaendelea'' ,''tuko mbioni '', ''tunajipanga kulifanyia kazi'', ''mawazo tumeyapokea ,''serikali yenu ni sikivu'', ''hili tumelichukua'', Tumejipanga kikamilifu, Hilo tatizo litakua historia,Tuwe wavumilivu kwa mda huu mfupi,
Tume imeundwa kuchunguza tatizo,..... tunafanya upembuzi...