Recent content by BETTY MSIGWA

  1. BETTY MSIGWA

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    ...kweli huu uzi maalumu wa kupeana like, kuna haja like moja ithaminishwe na jelo kisha tutoe kwa M-PESA/T-PESA/HALOPESA....
  2. BETTY MSIGWA

    Tatu mzuka nimewakubali

    ok ok, but my name shows, BUT may be in your area or tribe betty can be a MAN/BOY.......
  3. BETTY MSIGWA

    Tatu mzuka nimewakubali

    ...wewe ni mwanamke au mwanaume?
  4. BETTY MSIGWA

    Tatu mzuka nimewakubali

    siwezi danganya ningekuwa sijafuta meseji ningeweka hapa, hawa sio matapeli ila jambo muhimu kwako kupata zile namba zilingane.
  5. BETTY MSIGWA

    Tatu mzuka nimewakubali

    Wana jukwaa jana niliamka nikiwa na Buku Jelo mfukoni, mara nyingi huwa na BET M-BET, Jana nikaamua nibadili mboga kwa kutumia Buku jelo (1500) yangu, niliuliza namna ya kubet TATUMZUKA nikaelekezwa, nikabet wakala, nikabeti tena wakala, hahahahahahaha nikasema hawa jamaa sio watu wema nikasema...
  6. BETTY MSIGWA

    Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari zinazo daiwa ni za Uongo (Oct 2017)

    HIVI UMEJIULIZA KWANINI FUNGIA FUNGIA INAENDELEA KWENYE MAGAZETI NCHINI? : Mtazamo wangu mkubwa ni kwamba wanafungia magazeti ili kuziba kabisa kusambaa kwa habari za lissu mara tu akitoka hospitali, hata hao mwananchi wawe makini wanaangaliwa sana nao siku zao zinahesabika, wakulu hawataki...
  7. BETTY MSIGWA

    Dikteta Kagame

    :rolleyes::oops::oops::oops::oops::oops::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  8. BETTY MSIGWA

    Dikteta Kagame

    Kagame ni dictator zaidi ya Idd Amin na Mwalimu wa JPM
  9. BETTY MSIGWA

    Mwalimu wa dini (Ustaadhi) ahukumiwa kifungo jela baada ya kumlawiti mtoto wa kiume

    aliyewaroga hawa walimu alitenda dhambi kubwa sana huyo ni mmoja kati ya walimu kenda wa kenda wenye kutenda uchafu huo nchini.
  10. BETTY MSIGWA

    Morogoro: Auawa akidhaniwa kuwa popobawa

    UPDATES: WATU 20 WAMEKAMATWA..
  11. BETTY MSIGWA

    Morogoro: Auawa akidhaniwa kuwa popobawa

    WAKUU JINA LAKE NA LINI?
  12. BETTY MSIGWA

    Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    WAKUU NAOMBA KUJUA.... WAPI IMETOKEA HII.....!!!!!!
  13. BETTY MSIGWA

    Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    HABARI ZA JIONI WANA JUKWAA? WIKI MOJA ILIYOPITA KUFUATIA TUKIO LA WALIMU KUMPA KICHAPO KIKALI MWANAFUNZI ILICHUKUA SEKUNDE MOJA KUJUA MAJINA YA WALIMU, MWANAFUNZI, SHULE NA TAREHE HUSIKA YA TUKIO. JANA IMESAMBAA VIDEO IKOINESHA WANAFUNZI WALIOKAMATWA NA VIROBA (KONYAGI,VALUE) NA BANGI LAKINI...
  14. BETTY MSIGWA

    Usipuuze naomba tumsaidie hata kwa mawazo

    Jina lake Jeni (siyo jina halisi) ni mkazi wa hapa dar anatafuta kazi ndani ya jiji yoyote lakini siyo kujiuza na kuuza mwili wake. Lakini iwe kazi ya usafi au kuuza duka au mgahawa au hoteli anaweza na atafanya. Ni mkazi wa Kimara. Ukiguswa naomba comment au ni PM tuweze msaidia binti huyu...
Back
Top Bottom