Nimesoma comments zote humu, nimegundua wewe akili zako ni ndogo na hujui lolote linaloendelea kwenye hii vita. Unaandika kiushabiki sana na unabishia hata mambo yalio wazi kabisa.
Habari zenu wanajf.
Nahitaji msaada wa kupata kifaa kwa ajili ya matumizi ya camcard kwa samsung tv.
Kuna port nyuma ya TV lakini inahitaji adapter ili kupokea Camcard.
Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata kwa hapa Dar nitashukuru kupata mawasiliano yao.
Asanteni.
Wewe ndo hujui kitu kabisa, bora ukae kimya.
World bank wanaipa pesa serikali ili iwalipe wakandarasi, world bank hawalipi moja kwa moja wakandarasi.
Shida hizo hela hazifiki kwa wakandarasi kwa wakati.
Nafikiri jela ni all about freedom na sio uzuri wa chumba. Hata uwekwe kwenye apartment kubwa na la thamani kama huna freedom ni sawa tu na mfungwa na segerea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.