Recent content by Bessaa

  1. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli

    haha mku sawa
  2. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli

    nataka uje unitizamie mambo yangu mzee likud
  3. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Here are Five Strongest Alcoholic drinks in the World

    Cocoroco mwamba wa nguvu
  4. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Heri ya Noeli wanaJF. My beloved mama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

    pole sana mkuu mwenz enzi mungu akutie nguvu.
  5. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Nimevamiwa na kunguni

    piga dawa ila maana na viashiria vyake sio vizuri utapitia kipindi kigumu mudasi mrefu
  6. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Issue ya Feitoto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi

    Kweli bablai umenena
  7. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Issue ya Feitoto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi

    Hakuna cha kuongeza salute sana
  8. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Fumbua macho yako

    kitalolo chenye maindi mabichi hakika asili ni utajiri wa afya.
  9. Bessaa

    JamiiForums Tanzania The day Europ died: BASF announces “permanent” output reductions in Europe that will set set a supply chain collapse for the Western World.

    Binadamu tumeweka vidole masikioni kwa nguvu hata tusisikie waka kuona hata kuelewa pia.
  10. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Kwa mgawanyo wetu kwa simpo jumla 6000,6500,7000 nk. Hapo rejareja ni 10k na punguzo lipo nafikiri kwa mbez bei ya simpo inalandana. Ila kuna quality ya chini ama mzigo umebuma kwa mchina yani imemkamata ndo anashusha bei hata 4000 ama 5000 jumla bt ukiona kiatu chinga wa jumla amekataa ujue...
  11. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Kwenye hizi meza tupo wajasiriamali tunaouza jumla tu kwa kugawa kuanzia pc 5 nk ama ukitaka caton. Maduka ya jumla yapo ukifika utayaona bt wachina wanauza caton tu, na kuna maua mazuri(viatu) unakuta tumenunua chote kwa mchina hamna. Kwa ushauri anzia kwetu maana tunauza kinacholika sokoni by...
  12. Bessaa

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Kwa faida ya wote najihusisha hii biashara kwa jumla, njoo mtaa wa narung'ombe ndipo tulipo. Ukiwa kituo cha mwendokasi ingia mtaa wa narung'ombe hesabu frem za jengo la DDC hadi frem no 42 or 41 kuna nguzo ya zege then tizama upande wa pili kuna nguzo nyingine ya kawaida njoo kwenye hizi meza...
Back
Top Bottom