Recent content by berylyn

  1. berylyn

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini wanaotamka maneno kama wanameza ulimi ni vichekesho

    Yule konda wa kike anayetangaza vituo kwenye mabasi je si ndo balaa?
  2. berylyn

    JamiiForums Tanzania Weupe una thamani kuliko weusi

    Kuna dada alisema kuwa mweupe kumemfanya aingie sehemu Hadi ambazo hakutarajia. Akawa anakuwa treated vizuri kuliko alivyokuwa mweusi.
  3. berylyn

    JamiiForums Tanzania Natafuta MKE

    Zuchu karudishwa nyumbani na mi SUV tu msafara wa Zuchu kurudi nyumbani we kuweza?
  4. berylyn

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Hekima iliyotumika kufuta kesi ya Mbowe, itumike kwa Lissu

    Hiyo ni metaphor, tu imetumika, Kuna neno lilifaa kuliko hiyo hekima mnayosema.
  5. berylyn

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya daladala za Mawasiliano - Masaki kukatisha ruti kisha Abiria kulipa nauli mara 2 ni manyanyaso

    Lengo la kugeuza na gari ni ili kupata seat Mimi naona siyo mbaya.
  6. berylyn

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaipigia magoti Marekani yaomba iondolewe vikwazo vya visa na vya kiuchumi

    Hiyo dhamana ya USD 20000 wanaichukua hiyo pesa?
  7. berylyn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: CCM ina wenyewe na hao wenyewe ndio mliowaona juzi kwenye harambee yao

    Ripoti ya CAG sikuhizi ni kama gazeti la udaku. Ni kusoma na kutupa kule.
  8. berylyn

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi.

    Hii Kali, ukisikia mpende adui Yako ndo hii Sasa.
  9. berylyn

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Mwendokasi Mbezi Mwisho, leo Agosti 13, 2025 linakuja basi moja kila baada ya zaidi ya saa moja

    Niliacha kupanda mwendokasi baada ya kubanwa mbavu, unaminywa maziwa, unakanyagwa, unadhalilishwa unabambiwa, Kuna siku mwendokasi lilizima dereva hakufungua milango, hakusema nini kinaendelea, nikawa natokwa na jasho kama nanyeshewa na mvua. Nikasema hii CCM nikiendelea kuichekea nitakuja...
  10. berylyn

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo peke yake akamaliza?

    Mimi ni ke na kitimoto nusu na ugali pale city pork sishibagi.
  11. berylyn

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Hivi mnafurahi wananchi tunavyokaa kituo Cha mwendokasi saa Moja Hadi saa mbili na nusu asubuhi kusubiri basi la mwendokasi. Hii Tanzania ni nchi ya hovyo kabisa . Mradi mdogo hivi unawashinda? Siku tutakamata mfanyakazi wenu mmoja tumpige tumvunje mguu ndipo mtakuwa na akili.
  12. berylyn

    JamiiForums Tanzania Uwinga wa Kariakoo: Kazi Inayodharauiwa Lakini Inawalipa Zaidi ya Madaktari(elimu ya uwinga)

    Wewe muanzisha Uzi ndiyo chanzo Cha kufanya TRA waanze kuwachaji kodi mawinga. Lengo la Uzi wako ni kuleta heshima Kwa mawinga? Ama ni nini.
  13. berylyn

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi Kuzidisha DOZI. Tukutane hapa. Tuelezee jinsi ilivyokua

    Nilikuwa Nina gego la mwisho linaota huku likisukuma meno mengine. Kwa yale maumivu sikuweza kula Wala kuongea . So ili niweze kula nilikuwa ninakunywa diclopar 2 . So Kwa siku nilikunywa diclopar 2 asubuhi, 2 mchana 2 jioni. Na hata nilipong'oa jino niliendelea kunywa diclopar. Hiyo...
Back
Top Bottom