Recent content by berrie

  1. berrie

    JamiiForums Tanzania Itakusaidia kidogo

    Kuweka kitanda ambapo paka hupenda kulala, kula tunda ambalo limeguswa na mdudu inamaana gani
  2. berrie

    JamiiForums Tanzania TTCL kwisha habari

    Kiukweli TTCL nimeikatia tamaa kwanza 1. Nikinunua vocha haiingii yote 2.Network shida 3. Customer care mbovu 4. Vifurushi ghali kuliko mitandao yote
  3. berrie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ratiba za minada ya wiki mkoani Dar es Salaam

    Jumanne tabata baracuda
  4. berrie

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Mbn haiendelei hii simuliz
  5. berrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Simuelewi mume wangu

    Kiufupi Kabla ya kulala 1 piga mswaki 2.jitibu UTI 3 Vaa vizuri na unukie4 chamba kabla ya kulala
  6. berrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

    Njia rahisi ya kumfanya mwanaume astuke ni kubadilisha mwenendo wako.....we jifanye kama umebadilika na upo busy na mambo yako na hujali kuhusu mumeo Wala rafiki yake.....kiufupi punguza mapenz Kwa mumeo af uone atakavyochanganyikiwa
  7. berrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TUSHAURIANE: Nmepata ugeni wa dada yangu baada ya kukimbia kichapo cha mumewe

    Aisee tunaoa Kwa kua nntamaduni tuu.....kizazi Cha sasa n hopeless kabisa
  8. berrie

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    TCAA
  9. berrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True memories

    Mimi nikiwa na mahusiano sitaki kujua yaliyopita Wala mm simuhadithiii
  10. berrie

    JamiiForums Tanzania Jifunzeni kutoka kwangu

    Duh
  11. berrie

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Hapana mkuu hiyo Hali itaisha yenyewe, jirani yangu Kuna mtoto alikua anaitwa hamidu mpaka miaka sita alikua hawez kuongea ila ukimtuma ana fanya kiufupi yupo kama ulivyomuelezea.....baadae akapona kabisa so hiyo n Hali tuu na inaisha
  12. berrie

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    kwa nje ni MALDIVES na BALI ni hatari faya
  13. berrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Mke anaanzaje kuondoka nyumban bila taarifa yako..na dadaake amekaa nae tuu mwezi mzima.huyo hakua kwa dadaake ila alivyoona umerudi ndo akapeleka funguo kwa dadaake
  14. berrie

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

    Naungana na mleta mada, asubuhi nilikua nawaza hili jambo nimeona watu wakiweka majani barabaranj hii haina afya kiusalama kwan watu wenye nia mbaya wanaweza kuweka vilipuzi sio kwaajili ya kumuua marehemu au msafara wake ila ili kuutia doa msiba wa mpendwa wetu. Who knows?
Back
Top Bottom