nimejaribu kusearch information kuhusu huyu dada,nimegundua hii ni fake news, nationality ni mkenya na anaishi marekani anaendesha Esendi Backpacks for Kids Organization kama charity organization anakusanya school bags, vitabu, pencils kwa ajili ya kudonate nchi za afrika.
ukitazama hii picha inatoa tafsiri nyingi juu ya mwalekeo wa upinzani siku za mbele lakini kubwa zaidi muamko mkubwa wa siasa za upinzani kwa kinamama na kupungua muamko kwa kinababa
Serikali imebainisha kuwa pato la taifa kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2017 imeshuka na kusababisha taifa kumaliza na wastani wa ukuaji wa uchumi kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na asilimia ukuaji wa asilimia 7.7 mwaka 2016 , Chanzo Azam Tvhttps://www.facebook.com/azamtvtz/videos/969664239866484/
Kweli kabisa solar back up ni nzuri na kama unataka kutumia solar kama umeme mbadala ya TANESCO ni gharama kubwa sana na baada ya.miwili ama mitatu lazima uingiee gharama kubwa kwenye betri tena
leadership skill ziro kabisa, anatumia media vibaya, jamaa anavyopenda kuonekana kwenye media nafikiri big brother show ingemfaa, dar es salaam ni ile ile aliyoiacha Meck Sadick hakuna improvement
kwa maelezo yake hapo chini anashauri kuacha vyakula vya wanga kabisa ili kuweka mwili kwenye afya nzuri mimi sijaelewa unawezaje kukwepa vyakula hivyo
haya ndio maelezo yake pia unaweza kumfollow facebook DR. BOAZ MKUMBO
Jamaa Yetu Inatakiwa kuelimishwa, Mwili wa binadamu hauhitaji kiwango...
idea yako nzuri lakini iko kwenye architectural forums nyingi kwa miaka mingi jinsi gani ya kumarket architectural products hasa kwa wanaoanza kupractice
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.