Recent content by beparimkuu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Petroleum kwa Tanzania hivi ni marketable kweli?

    Ngoja waje wale waloamia pale infomatics wakujibu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbwa ni wachache lakini ng'ombe ni wengi japo kila siku wanachinjwa?

    Acha uvivu wa kufikilia ina maana unafananisha thaman ya ngombe na hayo majibwa kwanza upo nchi gan kwa sasa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania bara ni nchi gani?

    Tatizo la watanganyika
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mtafute uliyepotezana naye kwa mda mrefu

    Mi nsmtafuta jack hoza nasikia alikuwa saut sasa sijui yuko wapi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sare za Shule, Kwa nini?

    Kutokuwako madawati sio kigezo cha kuwafanya wasivae yunifomu hujapitia darasa nini? Komaa watoto waende shule na sare sio unalewa tuuu halafu ukishindwa unalalama
  6. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya watu ambayo ni kitendawili kuyatamka mbele ya watu

    Acha ukabila
  7. B

    JamiiForums Tanzania Diploma ya journalism UDSM

    Wasubir kidogo wanakuja
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mathematical Syntax and Sematics

    Ndo nini hiyo mnderemo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wadau tuliohitimu st.john's mwaka wa masomo 2012/13.

    Hakuna ajira hapa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili & Joh Makini - Bei ya Mkaa [LYRICS]

    We bonta wa wap wewe
  11. B

    JamiiForums Tanzania Form six wa kumaliza 2016 tujipange

    Àaaaaaaaght,ptuuuuuuuu kumbe big result mpo humu ndo maaana majukwaa machafu lakin umeongea point nzuri sana
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hupenda kutembea na Mbwa, wanawake na paka?

    Paka hupenda kumfuata mama kwa sababu ndo mpishi kikon na paka hushinda humo mbwa humfuata mwanaume kwa sababu ndo mleaji na mwindaji
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge hosteli kule Dodoma

    Walijengewa nyumba nyingi kisasa pale ni nzuri lakin hawataki zinatumika na wasio walengwa
Back
Top Bottom