Hapana kwenye hili lazima tuseme ukweli. Dar kwa Nairobi bado sana! Nairobi imejengeka vizuri tena kwa mpangilio tofauti na Dar ambako mvua ikinyesha dk kumi mji mzima mnaweza anzisha mabwawa ya samaki! Dar bado ndugu zangu.
Ukileta uzi na watu wakaonesha kutokuelewa toa ufafanuzi siyo kuanza kukimbizana na mawazo hasi. Umeleta uzi ili tupashane habari. Ulichokiandika unamaanisha nini?!
Kusema ukweli huyu wa leo angalau anaonesha kuwa serious na anachokifanya kulinganisha na mbwembwe za jana. Bado sijaona nia thabiti, mipango kabambe ya kutatua matatizo ya watanzania.
Mkuu Msemakweli mfuko huu unaitwa sovereign development fund na lengo lake ni ku-facilitate all national development projects. Nimekaa hapa huu mwaka wa nne, hawa jamaa wametuacha sehemu kubwa sana. Nina imani hatujachelewa sana tunayo nafasi ya kutengeneza upya nchi yetu ingawa siyo kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.