mawazo makin kamwe hayatoki kwa watu wenye mitazamo dhaifu. sishangai kwa kauli zao kupingana. LIKE PRODUCE LIKE
Lada tuchunguze na hiyo elimu ya lukuvi na huyo MULUGO itatusaidia ili tusije wahukumu bure
Mi cjaona mahali ambapo wenje amekosea kiasi hicho ambacho baadhi ya maccm yanataka kuwaaminisha. Wenje ameeleza jinsi gani kila mlengo unaamin katika unayoamini na unasimamia nini hasa. Kama wenje amekosea basi CUF NDO WAMEKOSEA ZAIDI kwa kujiunga na mlengo ambao kiumsingi hawakubaliani misingi...
yaan huyu jamaa kwa kuhonga utadhani hakula kiapo cha ccm. Ccm wana kiapo kizuri ambacho kinapiga vita rushwa lakini hakuna hata mmoja anayekitendea haki. Hebu chama au ritz tukumbushe kiapo chenu ili tujue kama mnakiishi au lah! Nawakilisha
niliwahi kudokezwa kwamba siku moja mkewe aliita mchungaji kwa ajili ya maombi pale kwake ila cha kushangaza wakati wakiwa wamefumba macho kila mtu akiomba MWIGULU ALIONDOKA NA BAADA YA SALA KILA MTU AKASHANGAA JAPO HATA MCHUNGAJI YULE HAKUULIZA JUU YA KILICHOTOKEA PALE. Sasa kama ulokole ndo...
unadanganya umma kiongozi. MWIGULU ana upinzani kuliko unavyofikiri. Mimi nimekuwa MAKUNDA hapa kwa kipindi fulani mwezi huu na nimejionea. Kama wewe ni magamba na hautaki kukubali ukweli you shall see. TIME WILL TELL............
huyu jamaa ananisikitisha kweli. Nilikuwa jimboni kwake kama wiki 4 zilizopita, hakuna kitu amefanya zaidi ya umaarufu wake wa kuhonga hela kwa raia. Huwa akienda jimboni yeye kazi yake ni kugawa hela as if huwa anaziokota. Huenda Atakuwa mwizi huyu jamaa maana kwa ugawaji ule wa hela sidhani...
NDUGU TUNASHUKURU KWA UFAFANUZI WA TAARIFA AMBAYO KWA HALI MOJA AU NYINGINE IMELETA MKANGANYIKO HUMU JF. Siwezi mlaamu mleta uzi kwani nae alipata taarifa kupitia chombo fulani ambacho aliamin taarifa ni za kweli
wewe acha hizo. mbona unaongea uongo hadharani? lini PENGO alisema kikwete ni mdini? kwa kuwa katiba ibara ya 18 inakupa uhuru wa kutoa maoni sishangai kwa ulichokiandika, ila jaribu kuandika FACTS ili zitusaidie watanzia
hawana jinsi, inabidi watumie hata wanafunzi kujaza mikutano yao.hawana la kuwavutia watu wazima wenye akili timamu na uzalendo. Chama chao kimeanza kupendwa na watoto kuliko watu wazima ambao ndo hasaaa wapiga kura
Hakika watanzania tunatofautiana sana. Ukiuweka mbele uccm hata uwezo wako wa kutathimin huwa sifuri kabisa. Nadhani aliyeipost hii ni agent wa MWIGULU aka...... Ukweli ni kwamba mwigulu anachemka sana kwa staili ya siasa anazozifanya sasa. Ngoja 2015 Dr MKUMBO achukue jimbo lake ndo atajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.