Nape ana tumbo kuuubwa kama ana mimbavile...
Magonjwa wa Kuhara (Diarrhoeal diseases) hayataisha Africa kwa uzembe.......; Moja ya kinga kubwa ni Kunawa kwa sabuni kabla ya kula.... Ukiangalia hiyo picha, ni wazi kuwa hawa jamaa hawakunawa licha ya kusalimiana salimiana hovyo hovyo