Recent content by BENTY

  1. BENTY

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali wakiwa kwenye misafaea yao, wanaona sisi tuliowapa dhamana kama magendayeka tu

    Kama binadamu anasubiri kima apite basi huyo anaitwa tumbili hiyo ni sheria ya msituni mwenye nguvu mpishe.
  2. BENTY

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

    Saudi Arabia nchi takatifu ya dini ya kiislamu leo kuna watu wana chinjwa kama mbuzi kisa wanatuhumiwa kwamba ni magaidi.Pengine shangazi yetu anapenda na nchi yetu iwe na adhabu kama za huko Mecca.
  3. BENTY

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali wajizuie urge ya kuita Mzungu Beberu

    Trump kaita bara la Afrika ni "shithole" tumechekelea baadaye kauliza "are Africans humans" tumekaa kimya labda tuseme mkubwa hakosei.
  4. BENTY

    JamiiForums Tanzania Wazungu waliwezaje kujua lugha za makabila?

    Waheshimiwa wana jf naomba kuelimishwa kuhusu lugha zetu wanadamu hususuni watanzania wenzangu.Hapa nchini tuna makabila zaidi ya 120 na kila kabila wana lugha yao wanayoitumia kwa mawasiliano na shughuli zingine za kila siku.Mfano mikoa ya kusini Mtwara kuna wamakonde,Ruvuma kuna wangoni, Mbeya...
  5. BENTY

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Wewe nakushauri uende USA kuishi huko utapata kazi nzuri inayolingana na kipaji chako na utapata mshahara mzuri,hapa TZ unapoteza muda wako bure.Ukiwa huko tukumbuke sisi watanzania wenzako kwa kuja kututembelea wakati wa likizo,kwani nahisi watakupa uraia kabisa.
  6. BENTY

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania hizi ‘ Kero ‘ tunazokutana nazo katika ‘ Jumuiya ‘ litafutieni ufumbuzi wa haraka

    Viongozi wengi wa dini wanatishia waumini kwamba wakifa hawatazikwa na viongozi wa dini je hao wanaozikwa na mapadri au maaskofu wana uhakika wote wanaenda peponi.Mimi binafsi nawakubali ndugu zetu waislamu hawana ubaguzi huo yeyote ambaye anaitwa mwislamu wanazika mengine atajua huko aendako na...
  7. BENTY

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema isijiunge na CCM na kujenga Taifa letu

    Vyama vyetu hapa Bongo a k a Tz ni Sacco's za watu fulani hivyo ni sawa ukisema mbingu na nchi viungane.
  8. BENTY

    JamiiForums Tanzania Jiunge nami kusema hapana kwa udhalilishaji na ubaguzi anaoufanya mmliki wa clock tower café Iringa

    Pengine ndugu yetu wakili msomi angetuhabarisha kama tangazo lililobandikwa ndani ya mghahawa anaosema lisemalo''management reserves the right to refuse admission" liko kisheria au la kama jibu ni ndiyo basi awe mpole na kutii agizo.
  9. BENTY

    JamiiForums Tanzania Mkuu Rrondo kwa hili la matamshi naomba niwe upande wa watangazaji

    Mkuu hata mimi nashangaa watangazaji wa redio na tv wakitamka mji mkuu wa uingereza kuwa ni Landani badala ya London au TV yetu ya taifa wanataja tbc wani na si tbc moja kwao one in kiswahili fasaha.
  10. BENTY

    JamiiForums Tanzania UBAKWAJI WA TELEZA: Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu Teleza, unyanyasaji wa Kingono kwa wanawake wa Mwanga Kusini, Kigoma

    Wana JF mbunge wa Kigoma mjini sijui kama anazo taarifa ya matatizo hayo.
  11. BENTY

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani akagua REA iii wilayani,Buhigwe na Kigoma Vijijini

    Brother J angalia hiyo waziri anafungua mradi wa umeme wa REA Buhigwe.
Back
Top Bottom