Uchambuzi wa namna hii umenisikitisha sana umekiuka maadili na vigezo vingi sana.
1. Si sahihi kabisa kuwalinganisha viongozi hawa watatu au pengine wanne(na Nyerere) kwani walitawala nyakati tofauti zenye changamoto tofauti, mipango tofauti, vipaumbele yofauti na uwezeshaji tofauti kabisa...
Nimeikuta hii kwenye magazeti ya nje. Nadhani watanzania wenzangu tuna la kujifunza sana kuhusu hii statement ya Obama: Kuna version mbili ila zote ni maana moja: Soma hii:
Obama "Democracy not just about elections, but how you treat opposition"
Democracy is not just about elections. It's...
Bashe Anasema hivi:
Hata hivyo ushindi wa Waziri Membe umewagawa wajumbe wengi, huku mahasimu wake kisiasa wakimbeza kwamba amezidiwa na vijana wadogo.
Akizungumza na gazeti hili jana mjini hapa, Bashe ambaye alipiga kampeni kwa nguvu kumwangusha Membe, alisema hakufurahishwa na ushindi wa...
Ingawa kuna takwimu (sources) za kila aina katika mambo ya msingi hapa TZ hata unashindwa kujua ipi ndo sahihi maana hatutengenezi sisi wenyewe.
Hata wewe nawe umekosea tuu, maana umetupa Life expectance at birth (female) badala ya Life expectance at birth (Total).
kuwa makini ndugu katika...
Nimesoma gazeti la Tanzania daima la leo nimekutana na habari iliyonichanganya kuhusu Dr. Nchimbi. Ameunda Tume na hapohapo kutoa hitimisho la yanayotakiwa kutolewa na tume kwenye report yake ya uchunguzi. Ebu angalia mwana JF
Hadidu za rejea kwa Tume iliyoundwa na Dr. Nchimbi
kujua chanzo cha...
Samahani nimechagua tu kuku-quote wewe ila wengi wamekuwa na mawazo au mtizamo kama wako dhidi ya huyu mzee wetu Kingunge Ngombare Mwiru
Ni kweli kuwa mzee wetu huyu anahusika kwa sehemu kubwa sana kwa taifa letu hili kuwa hivi lilivyo leo kwa kuzingatia nafasi na heshima aliyokuwa amepewa...
Unataka nani afanye hayo maamuzi si ulianzishe basi ili tujue wewe hauko miongoni mwa hao wasahaulifu.
Na MMM why usijitokeze wazi upigane vita na sisi tukufuate badala tu ya kuwataka wengine (wapinzani) ndo wajitokeze daima kujitoa sadaka..kwani nchi hii ni ya wapinzani pekee yao ambao...
Maneno yanayotafsiriwa hapo ya Mh Nasari ni: "...kwa stahili hii sitashangaa miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa jamhuri hii akitokea kigoma...."
Nina mitazamo miwili
1. Kwanza namtetea Nasari.. Mbunge huyu alitoa maoni yake tu kwa jinsi alivo ona hali ilivokuwa hapo uwanjani siku hiyo... na...
I am just thinking outside the box or more louwder..... Hivi mfano Dr. Ulimboka angesema kuwa aliyekuwa anamtafuta na kumpigia simu kwa siku tatu alikuwa amesema katoka makao makuu ya CHADEMA na kuwa alikuwa afisa mmojawapo wa CHADEMA pale makao makuu...yaani mfano tu.....
Maswali yanguni: Je...
Kwani kudai fedha ni vibaya kama ndo madoctor na hata wasomi wengine ambao hawalipwi vizuri walisotea madarasani kwa kwenda shule, lengo si ni mtu awe na maisha bora.
Kama pesa hazina maana Mbona nyie pamoja na kuwa mnajilipa vizuri lakini bado tu mnafanya ufisadi wa nguvu kwa kwenda mbele na...
Pamoja na kuwa nimekupa like, but ngoja pia tuweke clear
Maandiko yanasema hivi....Anaye STAHILI heshima apewe heshima. Hapo neno "stahili" ni muhimu sana. Mtu kama unafanya mambo yenye manufaa kwa wananchi kweli unastahili kujibiwa kwa heshima au kuulizwa swali kwa heshima (tone ya sauti) ila...
PM alihamaki bure, hii ilitokana na statement yake kuwa amefanya kila aliloweza na bado mgomo upo sasa atafanya nini zadi ili mgomo usiwepo? Lisu yuko sawa, hapo suala la kuheshimiana au kuto heshimiana halina uhusiano na swali. Alitakiwa kusema siwezi ku-resign sasa labda tunajaribu hatua za...
Nakubalina na mpango huu wa kuwasaidia wagonjwa kwa wakati huu wa dharura. Shida yangu kubwa ni ufanisi wa hao madaktari wanaoazimwa.
Nijuavyo mimi hao madaktari wanaoazimwa yaani waliostafu, walioko wizarani na pengine na akina mbunge Kigangwara na wengineo kama Dr. Husein Mwinyi kama...
Dr. Hapo vipi, jamaa amekupata nini!!
Niliwahi kukuuliza maswali huko nyuma, nini faida ya wewe kuwa na MD, MPH na MBA maana impact ya wewe kuwa na hivo mi sioni yaani upo tu kama ambao hawana hizo, au unataka kukubaliana na mch Msigwa kuwa watu wenye akili kubwa mmeziweka mifukoni na mmekubali...
Kamanda kwa urahisi wa kupata Katiba online (PDF) tembelea Link hii ya chama (Chadema): http://www.chadema.or.tz/nyaraka/katiba_2006.pdf
Kwa wale wanaotaka kujiunga na chama (chadema), kujua itikadi, sera, na falsafa kwa urahisi temebelea Link hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.