bensonlifua92
Member
- Dec 9, 2010
- 84
- 33
Tatizo kubwa la Watanzania wengi MMM, ni wasahaulifu na hawana maamuzi!!
Unataka nani afanye hayo maamuzi si ulianzishe basi ili tujue wewe hauko miongoni mwa hao wasahaulifu.
Na MMM why usijitokeze wazi upigane vita na sisi tukufuate badala tu ya kuwataka wengine (wapinzani) ndo wajitokeze daima kujitoa sadaka..kwani nchi hii ni ya wapinzani pekee yao ambao wanataka maisha bora. Umefika wakati kama tuko kweli serious na tuanaaka mema kwa taifa hili twende hadharani tutoke huku JF na majina ya bandia tukapambane kwa ajili ya kizazi hiki na vijavyo na tupunguze sintofahamu hii....