Recent content by Bennzine godfrey

  1. Bennzine godfrey

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Vitu vingine vinamajibu rahisi lkn watu wanasumbuka cjui nn. Ukisema kwa nini Mungu asingeumba ulimwengu usio na dhambi wakti yy ndo anamamlaka yote unakosea. Ukisoma Yeremia 29:11 mungu anasema mipango yake nikutuwazia mema wakati wote. Mwanzo kabisa Mungu aliumba Ulimwengu ulio perfect usio...
  2. Bennzine godfrey

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Nataka wasio amini uwepo wa Mungu wakidai ushahidi kama ww waniambie ni ushahidi gani wakipewa wataamini kama yupo??
  3. Bennzine godfrey

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Vitu vingine vinamajibu rahisi lkn watu wanasumbuka cjui nn. Ukisema kwa nini Mungu asingeumba ulimwengu usio na dhambi wakti yy ndo anamamlaka yote unakosea. Ukisoma Yeremia 29:11 mungu anasema mipango yake nikutuwazia mema wakati wote. Mwanzo kabisa Mungu aliumba Ulimwengu ulio perfect usio...
  4. Bennzine godfrey

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Ndugu pole sana kwa kujitaabisha kutengeneza hoja isiyo na maana. Biblia haisomwi kama gazeti kaka. Ulisoma lkn kwa nia yakutetea hoja yako. Ssa shindana na hili andiko.........WAKOLOSAI 1:15-17.........." kwa sababu kwa njia yake vitu vingine vyote viliumbwa mbinguni na duniani, vitu...
  5. Bennzine godfrey

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Unapona kabisa. Mm nmeshudia kwa macho yangu
  6. Bennzine godfrey

    Namna yaku- root sumsang galaxy ace GT-5830i

    Jamni naombeni msaada ya namna yakuroot simu yangu maana nimejaribu njia nying zimegoma. Simu inanisumbua coz ina internal space ndogo sana. Its android version 2.3.6 Gingerbread. Nilishajaribu kutumia files za xda developers na kuinstall adb drivers lakn imegoma. Pia nimeshatumia apps kama...
  7. Bennzine godfrey

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Kwa kwel kwa uzoefu wake amesema inabidi amuone mgonjwa na kutathmini hali yake
  8. Bennzine godfrey

    Dawa kwa wanaosumbuliwa na kifua

    Duh!! Wakt mwingne hata kama ni mjinga nibora unyamaze kuliko kuongea nakudhihirisha kua ww ni mjinga. Kwani angeiuza hata laki nani angemdai?? Ungebaki na ugonjwa wako na yy na dawa yake then nan mbabe? Fikiria chanya ndugu
  9. Bennzine godfrey

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Sijajua kwa kweli ila nataman ungekua karibu
  10. Bennzine godfrey

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Nmesukumwa kuandika hii thread baada yakushudia binafsi jinsi kwa kweli dawa hii inafanya kazi.kwa wale wote wanaosumbuliwa.na kifua kama pumu na wanashindwa kuhema au unandugu anashindwa kuhema kabisa basi ninawataarifu juu ya hii dawa. Binafsi mm mwenyew sina imani sana na dawa za asili ila...
  11. Bennzine godfrey

  12. Bennzine godfrey

    Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    Mmarekani hamsaidii muisrael bure kwani multi billionaires wa marekami karibu wote ni waisrael..ukianxa na microsoft, google na wngin wengi. Mbona nyuma ya iran kuna islamic states, hezbollah, pallestina(hamas) na waarabu wote.
  13. Bennzine godfrey

    Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    Mtoa mada uko one sided kwa mtazamo wangu. Em ichunguze israel kwa makin alf uongee. These guys have performed the most efficient millitay operations that have revolutionezd millitary technics. Ukianzia na operation opera, operation ochard, operation thunderbolt na nyingn nying. Despite of...
Back
Top Bottom