Dawa kwa wanaosumbuliwa na kifua

Feb 22, 2014
25
18
Nmesukumwa kuandika hii thread baada yakushudia binafsi jinsi kwa kweli dawa hii inafanya kazi.kwa wale wote wanaosumbuliwa.na kifua kama pumu na wanashindwa kuhema au unandugu anashindwa kuhema kabisa basi ninawataarifu juu ya hii dawa.
Binafsi mm mwenyew sina imani sana na dawa za asili ila nimeshuhudia watu wakipewa na kupona. Anaetoa hii dawa ni bibi yangu yupo moshi marangu. Haihusiani na ushirikina kwani yeye mwenyew ameokoka na familia yetu yote na kwanza atakuombea kabla hajakupa.
Dawa hii atakupa hapo hapo kwake ukimfuata au mkiwa wengi mnaeza msafirisha akaja.
Jamni siwaambii kwa kutafut pesa japo gharama lazima irudi kwani anaitafuta kwa shida ila pia kuwasaidia ndugu zangu wanaosumbuliwa na matatizo haya.
Dawa inatolewa kwa Tsh 30,000 kwa mtu mmoja.
Kwa mawasiliano
+255653707319
benzine360@gmail.com
 
Kwanini unajishuku kuwa unawezekana ukawa unapanga kupiga hela.
 
Kwa maana gharama hiyo unayomaanisha irudi unatushawishi kuwa imemgharimu bibi yako malaki kama siyo mamilioni kadhaa, ili vielfu thelathini vyetu cumulatively virudishe hiyo gharama.
 
Duh!! Wakt mwingne hata kama ni mjinga nibora unyamaze kuliko kuongea nakudhihirisha kua ww ni mjinga. Kwani angeiuza hata laki nani angemdai?? Ungebaki na ugonjwa wako na yy na dawa yake then nan mbabe? Fikiria chanya ndugu
 
Back
Top Bottom