Recent content by Bennykassi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    suala ndio linakuja hapa sasa,kama hazitonihusu kwanini mnataka zijadiliwe na bunge linalonihusu na zitambuliwe na mfumo unaonihusu?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    suala linakuja pia ukikataa rufaa kwa mfano mahakama ya kati ni lazima warefer kwenye kesi ilipotokea na kama haki kutokana na sheria zilizopo au zinazotumika(kwa mahakama ya kadhi maana yake sharia za kiislamu)ilifuatwa,jeh ukikata rufaa mahakama kuu au ya rufaa zitatumika sheria zipi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Wachumi: Kuporomoka kwa Shilingi

    Naungana na wewe kaka kwa 100% nadhani njia bora ni kuongeza uzalishaji wenye ubora ndani ya nchi huku pia tukiacha kuingiza vitu ambavyo tunaweza kuvizalisha sisi wenyewe itasaidia zaidi,hii itaongeza huitaji wa fedha yetu,hatua nyingine zitafuata
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha

    Mkenda si katibu mkuu kwa sasa?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi ni nini?

    tujenge hata utaratibu mdogo tu hata wa kugoogle kabla ya kutaja majibu yasiyokuwepo en.m.wikipedia.org/wiki/Saudi_Arabia
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kawambwa anaharibu ubora wa Elimu Tanzania

    m nipo against mtoa mada pia, unakuta shule private imemchukua mtoto toka darasa la kwanza kwahyo ndio imeanza nae kumfundisha na ndio jukumu lao mtoto aelewe kutokana na ada inayolipwa, kupangiwa wastani ni sahihi lakini unaenda nae mtoto mpaka la 5 akishindwa kufikisha wastani wa shule...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/volunteer/internship

    Asante kaka wacha nipite@ youngsteval
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/volunteer/internship

    Mi ni kijana,graduate wa mwaka 2014 udsm bachelor of arts in Economics mwenye uwezo wa kufanya kazi kwenye vitengo tofauti tofauti kama finance, planning, research, customer services, cashier na zaidi ya yote nina uweso wa kuelewa haraka na kufanya kwenye kitengo vingine ambavyo ni tofauti na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

    wanawake wa siku hizi wana akili sana kwakweli,miaka mi3 kuishi pamoja ni ndoa tayari kiserikali hiyo,muache kijingajinga mkagawane mali. Mwambie aende kwao mtakuja kuishi pamoja mkioana ila huyo ni wa kuachwa kijanja
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu application postal bank

    kyna hawa jamaa wa tpb na Access mara nyingi siwaelewagi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wakristo wasilalamike kwani mahakama za kawaida zinatumia sheria za kikristo (canon court)

    kuna kodi ya biashara inayochajiwa kutoka kwenye profit unayopata,same to ardhi ila hakuna kodi ya uislamu kwahyo kuna possibility kubwa kwa hizi mahakama 2 ya ardhi na biashara kuendeshwa kwa kodi zinazotokana na biashara na ardhi. Na mwisho wa siku kunatofauti kubwa kati ya biashara/ardhi na dini
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wakristo wasilalamike kwani mahakama za kawaida zinatumia sheria za kikristo (canon court)

    dini ni suala la imani na ni uamuzi wa mtu kuifuata na kufuata hukumu zinazotolewa nayo au lah. Kwa mi navyoona suala la mahakama ya kadhi ingeanzishwa na waislamu bila kutaka itambulike kisheria sababu mtu atakayehukumiwa nayo na kutimiza hukumu yake atakuwa ni muislamu mwenye imani thabiti na...
Back
Top Bottom