Upo sahihi, na kwa kuongezea tu. Kwa vilabu vikubwa vya caliber ya Man United kocha anatakiwa kuwa na vitu vingi sana. Character yake, uwezo wake kiufundi, awe na strong mentality etc. Poch ni kocha mzuri, lakini ni midtable oriented coach.
Mpe team yenye objectives za kima cha kati, atakupa...