Recent content by Benjamin Lawrence

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni mara 20 zaidi kufaidika kiuchumi na elimu ya VETA kuliko shahada/shahada ya uzamili

    Hapana jamaa kuongea pointi kubwa saana na hana maana ya vyuo vikuu vifutwe ila mimi nashauri elimu ya veta ingepelekwa mpaka vyuo vikuu kwa kuwa elimu ya veta ni kubwa kimataifa na utendaji
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yajue magonjwa kumi hatari zaidi duniani

    Nmeichukua hiii kaka ntaipostost mahara
  3. B

    JamiiForums Tanzania BASATA wanena kitakachoyakuta mabasi, bar zinazocheza ‘Nyegezi’

    Huku Iringa kuna gari la matangazo za halmashauri lilikuwa likipita likitoa matanngazo yake but steel bdo walikuwa wakipiga na wimbo wa nyegezi na watu tunainjoy tu na hakuna alie shtakiwa kwa hili
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi tusiopata likizo,tukutane hapa

    Nkipata mtaji nasepa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi tusiopata likizo,tukutane hapa

    Daaah mi job kwangu ni shida yaaan j3-j2 saambili ahsubuhi hadi moja usiku
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya Taifa, Magufuli ni lazima aondolewe 2020

    Wasipompitisha magufuli 2020 halmashauri kuu ya chama itampitisha mizingo pinda
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

    Kama unaweza panda mahindi ya njano
  8. B

    JamiiForums Tanzania Facebook account imedukuliwa

    Daah ahsanteh kwa ushauli wako mkuu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Facebook account imedukuliwa

    Alifungulia number ya cm mkuu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Facebook account imedukuliwa

    Jamani waungwana naombenie Msaada wenu Kunatatizo limetokea kwenye facebook account ya rafiki yangu.. Kwasasa rafiki yangu huyu hana simu janja takribani Wiki tatu sasa But Jana kuna mtu amepost matusi na mambo ya ajabu kwenye ile facebook account... Mpaka saivi nnavoandiki hivi jamaangu huyo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za kutengeneza Greenhouse

    Jamani Kwaanaejua gharama Za kuijenga green house. Naomba anisaidie coz napenda Sana kufanya kilimo cha green house
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyo mama tutamuuwa
Back
Top Bottom