Recent content by benjamin lapken

  1. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Acmarket app store ambayo naikubali sana Kwa Mterezo wa kupata app zinazouzwa bureeeee

    Asante kwa kuweka app nzur km hii am on my way kuichukua Pokémon go
  2. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    Ney kafanya kisong flan HV amazing haha... "Kuna viongoz wavuta bang...wapo" "Maana wana maamuz kiseng*....wapo" Waliommiss jakaya....wapo" Waliochoka kuisoma namba...wapo" Anyway ngoja niendelee kuitazama hii movie ya bashite naona cku hz ni bora ukose kula kuliko kukosa bando kutazama huu mkasa
  3. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Simu imelock

    Baadh ya android zima simu yk then bonyeza kitufe cha kuwasha pa1 na cha kupunguza sauti alaf zitakuja option kibao then tumia kitufe cha kupunguza na kuongeza sauti kama Nd vitufe vya kwenda chini alaf kitufe cha power on%off kama OK shuka chini mpaka uone pameandikwa factory reset then...
  4. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Msaada kuupgrade android os

    Itel1556
  5. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Msaada kuupgrade android os

    Me version yang ni 5:1 lollipop na simu nisha root unaweza nipa msaada nikapata version ya 6 mashllow??
  6. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Msaada kuupgrade android os

    Msaada tu bro c lzm uchaji pesa
  7. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa Ku crack online game

    Naomben mnisaidie Ku crack online game ili kupata free in app purchases kama gem coin natumia game za clash of clan(COC) ,shadow fight walking dead pamoja na dark sword
  8. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Arsenal chaliii

    Mmhh nyie mtakaa apo kwenye sita huku top 4 hapawahusu
  9. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Arsenal chaliii

    Daa!!!!!arsenal mbona mnanitesa nyie mi kabila lang mhehe mjue alaf uyu kocha anayefanana na Mr bean kwan timu yake iyo so aondoke jmn[emoji27] [emoji27]
  10. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa

    Tafuta dark Angel iko njema sana
  11. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

    Aahh.....zootopia ni Kali aisee inastahil
  12. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

    Cc barca tuna bahati na safar kuelekea Cardiff km naiona ka VP we jinyonge tu [emoji460]
  13. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Nimeblock Whatsapp ila bado napata SMS zake

    MTU anaweza kuji unblock km aliblokiwa WhatsApp njia anyoitumia uyo ana delete account yake then ana jisajili upya WhatsApp MTU akidelete account yake INA maana hata wale waliom block akijisajili tena atakuwa na uwezo Wa kukutumia SMS call nk
  14. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Tushare game za android

    Street fight pia iko njema
  15. benjamin lapken

    JamiiForums Tanzania Tushare game za android

    Shadow fight nayo ni balaa
Back
Top Bottom