Baadh ya android zima simu yk then bonyeza kitufe cha kuwasha pa1 na cha kupunguza sauti alaf zitakuja option kibao then tumia kitufe cha kupunguza na kuongeza sauti kama Nd vitufe vya kwenda chini alaf kitufe cha power on%off kama OK shuka chini mpaka uone pameandikwa factory reset then bonyeza OK hapo simu itarud katika hali ya kiwandan km ulivyoinunua mwanzo it mean app na vitu vyako ulivyoweka vitafutika pa1 na pattern uliyoweka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.